Mkubwa Fella afunguka namna milioni 50 za Kayumba zilivyotumbuliwa

inawezekana shows zikamlipa akamalizia kweli, ila biashara yoyote ina risk, biashara ya muziki unaweza kuwekeza nyimbo ya mashairi mazuri, video kali ila isikulipe
 
Hiyo gari si afanye taxi bubu tu atupunguzie kelele hapa!
 
msijali atabebeshwa sembe kama wenzie ndani ya mwaka utasikia anamiliki nyumba 10!
 
Kashateleza gari ya nini nakati hata pale jukwaani alikuwa akilalamika yeye na baba yake hawana pa kukaa? Hadi kututia huruma tukampigia kura kwa wingi
 
Hivi wabongo kwa nn siku zote tunakuwa na mawazo ya kimasikini, mtu akifanikiwa utasikia freemason mara mbeba unga yaani mioyo yetu tunaijaza chuki, kuwachukia watu waliofanikiwa na ndio maana mungu hatubariki kwa sababu mioyo yetu imejaa chuki.
 
Sishangai hapo, milioni 50 sio kitu ikija kwenye ujenzi wa nyumba, inaisha fasta sana tena kwenye nyumba ndogo tu.
Ila still ni decision nzuri, mahala pa kuishi kwa kijana ndio inatakiwa iwe priority ya kwanza mtu ukishapata hela.
 
Sasa angejenga nyumba tu than? Yeye ni mfanyabiashara na anatakiwa awekeze mtaji kwenye video. Nyumba itakuja tu
 
Sasa angejenga nyumba tu than? Yeye ni mfanyabiashara na anatakiwa awekeze mtaji kwenye video. Nyumba itakuja tu

Mtu akishakua mtu mzima kusema awekeze hiyo pesa huku hana pa kuishi, ikitokea zimeisha itakuaje? Kufanya biashara Tanzania sio kitu kidogo, Tanzania ni sehemu biashara inaweza ikakulipa sana au ikakuangusha kabisa ukarudi sifuri, hiyo risk ni kubwa mno, nyumba kwanza aisee, kazi zipo tu, angalau ukifulia unajua unaweza uza nyumba ukapiga hela, biashara ikikupeleka pabaya unaweza usibaki na kitu.
 
Back
Top Bottom