Mkosamali on fire in the Parliament

Mkosamali on fire in the Parliament

Intellect

Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
34
Reaction score
20
Tanzanian govt fails to collect a half of the telecommunication revenues that Rwanda collects and the total population of Rwanda resembles that of Tanzania's Vodacom subscribers -Mkosamali (MP)
 
ndio maana kakimbia law school akapige mdomo huko bungeni
 
Tanzanian govt fails to collect a half of the telecommunication revenues that Rwanda collects and the total population of Rwanda resembles that of Tanzania's Vodacom subscribers -Mkosamali (MP)
Please be intellectually,tatizo liko wapi,tueleze kwani umetuacha kwenye dilemma.
 
Tanzanian govt fails to collect a half of the telecommunication revenues that Rwanda collects and the total population of Rwanda resembles that of Tanzania's Vodacom subscribers -Mkosamali (MP)
How is he "on fire"? Unaweza kufafanua?
 
Hapa tanzania makampuni ya simu yamefanya kuwa shamba la bibi.VODACOM hawalipi kodi stahiki unategemea nini
 
Hivi kwa nini msitumie kiswahili mnapotoa taarifa???Kichwa cha habari na maudhui tofauti kabisa
 
Haelewi alichotakiwa kusema. Namshauri atumie kiswahili ili aeleweke. Mimi niliposoma kichwa cha habari nilijua Mkosamali yuko matatani, lakini ni tofauti na alichoandika mleta uzi.

Mkuu alichokosea labda ni kujazia nyama.., lakini on fire does not necessarily mean matatizo.., kwa jinsi ilivyotumika inaweza kuonyesha mtu ambae yupo kwenye fomu; anamwaga sumu; anateketeza; au kumwaga vitu vya nguvu
 
Haelewi alichotakiwa kusema. Namshauri atumie kiswahili ili aeleweke. Mimi niliposoma kichwa cha habari nilijua Mkosamali yuko matatani, lakini ni tofauti na alichoandika mleta uzi.

mkuu twasilani ni kweli neno alilotumia ni 'ambiguity' yaani ni tungo tata hivyo katika kulitafsiri linaweza kuwa na maana zaidi ya moja.Ni vema tunapoandika tuzingatie hilo
 
...I gues you mean ambiguous.

I think you mean guess; anyway nadhani tumetoka nje ya Topic badala ya kuzungumzia Voda na ulipaji kodi tunazungumzia matumizi ya lugha...
 
yaani masomo yamemuwia magumu au kakosa ada,sijaelewa kakimbiaje law skul?
aa
kawaida ya wapiga tarataraa wengi vilaza, shule ilikua ngumu akaona bora aendeleze kipaji chake cha porojo
 
mwache ajenge nchi shule kitu gani mwigulu nchemba na masters yake anafanya nini bungeni???

nyie ndio wale mnachagua wapiga milegezo kuwa wabunge, bushman wewe
 
ndio maana kakimbia law school akapige mdomo huko bungeni

na wewe kwa kuponda watu! Hivi wewe unanini hapa Tanzania? Una elimu gani wewe?kule thread uliniponda sana,niliporudi na kukupin dawn kwa hoja ukasepa.mkosa mali hata kama kaondoka law school kuna tatizo gani? Elimu haina mwisho atarudi kumalizia cha msingi uzima. Umekaa kimajungu sana kijana.
 
Back
Top Bottom