Mkosamali amlipua Henry Shekifu bungeni

Mkosamali amlipua Henry Shekifu bungeni

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,784
Reaction score
3,205
Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali amemuambia Henry Shekifu akome kuwaita watoto wadogo kwani hakuna mtoto mdogo anayeweza kuigaragaza CCM vibaya pia aeleze kuhusu ile ripoti ya Msemakweli kuwa ana vyeti vya kufoji kuwa Dkt (PhD).
 
Shekifu ni njaa tu, CCM ikafa ataondoka nayo kama mwanasiasa. mwacheni amalizie raha za makosa ya wanajimbo lake
 
Yule mzee anajifanya kuwaiga wakina Lusinde kupambana na wabunge vijana wa upinzani ataishia kuaibika. Wao wanamheshimu yeye anavuka mipaka. Yaliyomtokea leo sidhani kama atarudia tena kauli zake za kujifanya yeye ndiye mtetezi mkuu wa serikali wakati yeye ni mbunge wa kawaida.
Mkosamali hakuumauma maneno kampa za uso mpaka mzee akatahayari na kuomba radhi kiaina.
 
Shekifu anajifanya waziri msaidizi kwa kila jambo linalolihusu serikali.
 
mbunge wa muhambwe felix mkosamali amemuambia henry shekifu akome kuwaita watoto wadogo kwani hakuna mtoto mdogo anayeweza kuigaragaza ccm vibaya pia aeleze kuusu ile ripoti ya msema kweli kua ana vyeti vya kufoji kua Dkt
Ohooooo mnaanza kukumbusha tena mambo ya Kaenerugaba Msemakweli.
 
Huyu mzee huwa namchukia kikweli bungeni akiongea haekeweki ni porojo tupu
 
huyu mzee anajishushia,anajifanya kimbelembele Sana.
safibsana Felix umempa za USO huyo kikongwe,hao ndio wameifikisha nchi hii pabaya,kazi yake kutetea hata maovu.
 
Wakuu natamani kujua aliongea nini hasa mpk Mkosamali akapeleka mashambulizi........ kwa waliofuatilia kwa ukaribu tujuzane pls.
 
Zee alilidhiki lilishakaa serikalini muda sana,kutoka usoja,ukuu wa wilaya na ukuu wa mkoa,sasa libunge lool!!
 
Shekifu alikuwa na wake kila kona ya nchi hii... baada ya kuwa bench wengi walimkimbia wengine wakawa wanamchapia kwa Sanaa.... aliporejeshwa kwenye system amejikuta amekuwa puppet kuliko wale Malaya wa ambiance ... msameheni bure huyo mzee maana hana jinsi Zaidi ya kuendelea kuifagilia CCM hadi kufa kwake ...

Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali amemuambia Henry Shekifu akome kuwaita watoto wadogo kwani hakuna mtoto mdogo anayeweza kuigaragaza CCM vibaya pia aeleze kuhusu ile ripoti ya Msemakweli kuwa ana vyeti vya kufoji kuwa Dkt (PhD).
 
Wakuu natamani kujua aliongea nini hasa mpk Mkosamali akapeleka mashambulizi........ kwa waliofuatilia kwa ukaribu tujuzane pls.


Kabla Mkosamali alichangia na kusema ccm ndio wavunjaji wakubwa wa haki za binadamu lakini bado wanangangania kujiunga na mkataba wa umoja wa Afrika ambao unasimamia haki za binadamu wakati sharia za ndani zipo ccm wanaendelea kuzivunja kila siku wala hazisimamiwi ndipo baadae Shekifu alipopata mda na yeye akasema maneno ya Mkosamali achukuliwe tu kwa vile bado ni mtoto, ndipo Mkosamali alipoomba taarifa na kuanza kumpa za uso
 
Back
Top Bottom