Kauli za watu ambao wamekosa haja hapa jamvini.
1. Badala ya kujibu hoja anakugeuza wewe hoja : "una hasira, mmeo/mkeo hivi, boyfriend/girlfriend wako vile, umeachwa " wakati hakujui.
2. Badala ya kujibu hoja anadiscredit ulichouliza kwa kusema hujui kitu wakati yeye ndie alieshindwa kukujibu.
3. Badala ya kujibu hoja anaanzisha mada nyingine mpya kabisa.
4. Badala ya kujibu hoja anaanzisha matusi.
5. Badala ya kujibu hoja anaanza kudai "unatoa povu" ili tu uulize povu gani na kupoteza mlichokua mnajadili.
6. Badala ya kujibu hoja anakuita mbishi.
7. Badala ya kujibu hoja anakwambia usingechangia "hukuombwa/lazimishwa kuchangia" .
. . . . . .
Seriously wanakera mnoooo....!! Mwingine anaku-judge kwa kile ulicho-comment,wakati hili ni jamvi huru u put your idea openly so long as it doesnot offend anybody...au utakuta mtu anapayuka kwa matusi na ku-take things too personal mwisho wa siku akipewa ban,anakuja kuanzisha uzi wa kuonewa..#Nonsense.
Personally,i dont care..mtu akijibu ushuzi mi namjibu anachostahili lakini sio ushuzi..
My new found friend, how are you today?
your 'nasty' friend hah???????lol