Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Hii inakaribia kutupotezea rangi ya asili ya jamii yetu ,hivi huupendi weusi wako? Hivi unajitia mapodozi ya kubleach ili iweje?
Nimezunguka mashariki kaskazini, magharibi na kusini, mademu kila unaemuona amebadilika sura, mzungu si mmzungu mhindi si mhindi alimuradi, nilishughulika kuona maajabu mjini si kawaida tena kumuona mwanamuke mweusi.
Kimezidi nini, kwenye madisco ndio usiseme, kwenye mikutano hata wabunge ni weupe, nikajisemea hivi kumbe tuna waarabu au hawa wamechanganya na wazungu, mradi ilikuwa kizaazaa ndani ya roho yangu, niliwaona siwo nilipowasogelea karibu ni kama mahindi ya kuchoma yale machanga.
Yote tisa la kumi nywele, siku hizi hakuna tena anetumia shanuo kweli uwongo? Jawabu nafikiri mnalo, utaona demu anazungusha kichwa kwa ghafla ukichunguza kumbe anaweka nywele sawa, aloo waliniwacha hoi kabisa ,kila unaemuona ,nimetafuta walio na natural zile za shanuo ,nilipata shida ,ila hadi leo sijawafahamu yanini yote haya ? Najisemea labda ndio wanaona ndio uzuri!