Mkorogo

Mkorogo

Wanaume wa leo wanataka weupe tatizo hapoo

Ni sawa na hao wanaopenda makalio...basi imekuwa sheeder wanawake wanatafuta makalio kwa kila mbinu...

Wanaume wanachangia yooote

Umeona eeh? Wakiona mweupe full kumtolea mijicho....sa mi niendelee kubaki mweusi ili nigundue nini?
 
Yep ,hii inakaribia
kutupotezea rangi ya asili ya jamii yetu ,hivi huupendi weusi wako ?
Hivi unajitia mapodozi ya kubleach ili iweje ?
Nimezunguka mashariki kaskazini,mangaribi na kusini ,mademu kila
unaemuona amebadilika sura ,mzungu si mmzungu mhindi si mhindi alimuradi
,nilishughulika kuona maajabu mjini si kawaida tena kumuona mwanamuke
mweusi.kimezidi nini ,kwenye madisco ndio usiseme ,kwenye mikutano hata
wabunge ni weupe ,nikajisemea hivi kumbe tuna waarabu au hawa
wamechanganya na wazungu ,mradi ilikuwa kizaazaa ndani ya roho yangu
,niliwaona siwo nilipowasogelea karibu ni kama mahindi ya kuchoma yale
machanga .

Yote tisala kumi nywele, siku hizi hakuna tena anetumia shanuo kweli
uwongo ? Jawabu nafikiri mnalo ,utaona demu anazungusha kichwa kwa
gafula ukichunguza kumbe anaweka nywele sawa ,aloo waliniwacha hoi
kabisa ,kila unaemuona ,nimetafuta walio na natural zile za shanuo
,nilipata shida ,ila hadi leo sijawafahamu yanini yote haya ? Najisemea
labda ndio wanaona ndio uzuri !

ebu acha kutuzalilisha naamin hapa mabint wa jf almost wote tuko natural mm nikiwa wa kwanza anaeping anyoshe mkono. we proud of how black beauty we are.
 
Mm mwenyewe binafsi sifurahii wanawake siku hizi kujikoboa na kuondoa ile ngozi ambayo mungu amekuumbia wewe mwenyewe ulivyo yaani utakuta mtu amejikoboa mpaka anatisha kwanini unamsahihisha mungu kwa uumbaji wake umeona kuwa mungu akufaa kukuumba jinsi ivile ulivyo?

Akina dada wenzangu tubadilikeni jamani tunajiretea kansa ya ngozi wenyewe pls acheni si busara

upande wa pili kwako mwiba

bestito nimekusoma mkuu sijakupatia picha ya wewe jinsi ulivyo sijui kwanini

ila wewe kweli mwiba....................... Ukikuchoma mhm?????????????
 
FN5H_Jamaica_Skin_Bleaching_LIGHT.jpg

anafanya nini huyu mkuu????
 
Back
Top Bottom