Mkorogo wasababisha hedhi kukoma

Mkorogo wasababisha hedhi kukoma

Nimepata bendi ya kuimba wanasema lazima nijichubue sijui mbegu zangu nazo zitakoma kutoka?

Hahahaha jichubue baba ili ujipatie ujira wako lol.....mbegu zikikoma kutoka haina tatizo manake watoto ulionao wanatosha sana......sasa hiyo ndo avatar ya zamani?
 
Hahahaha jichubue baba ili ujipatie ujira wako lol.....mbegu zikikoma kutoka haina tatizo manake watoto ulionao wanatosha sana......sasa hiyo ndo avatar ya zamani?

Eti ni kweli mwanaume aliye jichubua anatoa bao kama povu la Omo hii nimeisikia kijiweni na Wacongo nao hivyo hivyo?
 
eeeeeh wifi mzima weye......khaaa hebu nitake razi nani anataka kuwa tetrasaklini

Sikutaki razi manake mie Preta kanambia huwa mnapaka nae.....akutake razi yeye

Wifi mie mzima wa afya.....khofu kwako wifi kipenzi!
 
Last edited by a moderator:
Eti ni kweli mwanaume aliye jichubua anatoa bao kama povu la Omo hii nimeisikia kijiweni na Wacongo nao hivyo hivyo?

Ndio nini jamani kuniuliza masuali magumu hivyo?

Subiri Nape akipita pande hizi tutamwuliza manake si unaona yeye mkorogo ulivyokubali?
 
Ndio nini jamani kuniuliza masuali magumu hivyo?

Subiri Nape akipita pande hizi tutamwuliza manake si unaona yeye mkorogo ulivyokubali?

I see umenikumbusha ngoja nimuulize mtani wangu Crashwise mchezaji wao Sunzu anajikoboa usoni sasa hivi ana machunusi kibao
 
Last edited by a moderator:
ili nini? na k uichubue kabisa

sasa hapa ningekuwa mweupe.....si ningetokelezea zaidi ya hapa.......wapi obagi.....leteeee......

74894_275657695878823_1475394447_n.jpg
 
Fidel80 hebu rudisha ile avatar yako ya zamani, yaani sibarikiwi kabisa na hii uliyoweka, sometimes naona kama sio wewe uliyepost, halafu vipi kuh ule wali
 
Back
Top Bottom