Mkorogo wasababisha hedhi kukoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkorogo wasababisha hedhi kukoma

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fidel80, Sep 19, 2012.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  WANAWAKE nchini wamehadharishwa juu ya matumizi ya dawa za kujichubua, kwani husababisha madhara yakiwamo ya kukoma kwa hedhi kabla ya umri.Dawa hizo za mkorogo, zinaweza kusababisha kukoma hedhi kwa mwanamke mwenye umri wa hata miaka 30 hadi 35, tofauti na kawaida ya miaka 45.Hayo yalibainishwa jana na mkufunzi wa taasisi isiyo ya Serikali ya T- MARC, Grace Dibibi alipowasilisha mada kuhusu Uzazi wa Mpango kwa wafanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dar es Salaam jana.
  Pia alihadharisha wanawake juu ya tabia ya kusafishwa vizazi mara kwa mara, kwani nayo husababisha kutojijenga ukuta ndani ya viungo vya uzazi na hivyo kushindwa kushika ujauzito.
  Dibibi alisema wanawake wanatakiwa kuwa makini ili kupanga uzazi na kuzaa kwa muda wanaotaka, huku akisisitiza kuwa dawa za uzazi wa mpango ni salama, bali zenye vichocheo zinazoweza kusababisha madhara kwa baadhi ya wanawake.Kuhusu suala la wanawake kuchelewa kuzaa baada ya kutumia njia za uzazi wa mpango, alishauri kuonana na madaktari wanawake na kuwaelezea historia ya familia kabla ya kutumia njia hizo.
  Source Habari leo
   
 2. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  sawa tumesikia.....
   
 3. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  madhara yapo mengi wanaotaka weupe wa dukani hata waambiwe nini hawasiki
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kuna wanawake wanapenda weupe jamani .hata umwambie ale kinyesi cha jirani anakula
   
 5. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  duh.... Wana fikra dhaifu sana
   
 6. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  hahahahahah we acha tu kuna dada mmoja amejichubua amekuwa kama mdoli ukimwangalia miguu hadi kinyaa
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mchubuo is there to stay.....nitajichubua mpaka mwisho wa dahari wallah.......
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ili nini? na k uichubue kabisa
   
 9. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ngoja na mimi nianze kupaka mkorogo ili hedhi ikome kabisa
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hahahaaaaa..............!!1
  Haya bhana....!!
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kwani wewe siku hizi umeacha eeh?
  Fidel80 rudisha ile avatar yako ya zamani

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Hahahahah Preta umeua lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Ili awe mweupe lol......chezeiya Preta wewe.....mie namjua ni mweusi tiiiiiii hapa anawaingiza mkenge tu!

  Afu nisingeiona hiyo avatar yako ningekusahau ujue......

  Are you good dear?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,645
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  yaani kama kweli wamesikia naamini wataacha hiyo tabia ya kuchibua kwani ina madhara mengi laikini sis tunaiga tu mambo ya magharibi sijui kwanini binadamu sisi
   
 15. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nipo dear , sidanganyiki hata..
   
 16. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Laiti yangekuwa ya kweli
   
 17. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  eeeeeh wifi mzima weye......khaaa hebu nitake razi nani anataka kuwa tetrasaklini
   
 18. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  shosti mzima nilikumicje.......umeona anavyodanya wenzake
   
 19. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mie mzima mpnz nilikumiss na bado nakumiss! Mtoto muongo sana huyo hukumpeleka relini wakati wa mwakasege?
   
 20. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  umeona ee!!!hivi mi nashangaa..kwani kuwa mweupe ndio uzuri na urembo au? mh! kazi ipo!!
   
Loading...