Mkorogo umedunda

Utafikiri kamwagiwa mafuta ya moto.
 
"maji ya kisimo mkorogo umedundi..."...singing in Bambo's vocal
 
Nashukuru mi wangu haujadunda ina maana ningekuwa hivyo loh
 
Kuna wengine wanajikoroga na utomvu wa mapapai mabichi. Urembo kazi kubwa sana.
 
Maeneo mengi ya congo na baadhi ya sehemu za zambia wanafanya sana hii kitu,
bila shaka na huyu ni wa pande hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…