Kwa waliokosa mkopo wataweza kweli kujisomesha wenyewe jamani...na kama tunavyo fahamu hali halisi ya Watanzania wengi kiuchumi.......:A S-confused1::help::frusty:
nahisi wanataka tuwe wamachinga waje watupige virungu...!!yangu naanza kusoma mpk namaliza shule zangu ni za kata tuu leo hii kutoa 2m na upuuuzi nifanye kazi mwaka mzima siipati cjui itakuwaje

Tatizo wanafanya mambo bila kuangalia hali halisi ya kipato cha watz walio wengi......haswa wale waliopangwa vyuo vya private ndio wanaonewa kweli.....:A S angry:
"The student with Index number 'S0545.0026.2006' did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year." ndo wana maana gani? nisaidieni tafadhali.