mkopo

mkopo

Goodluckmkali

Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
9
Reaction score
1
Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi na kurejesha kidogokidogo mahali popote na wakati wowote.

Ili kupata mkopo inabidi uwe na vitu vifuatavyo:-
(a)uwe na kitambulisho, eidha cha kupigia kura, cha taifa au leseni ya udereva.
(b)laini ya mtandao wa tigo au vodacom uliyosajili kwa kitambulisho chako.
(c)kodi ya mualiko ambayo ni FQNJLB ambayo utaijaza sehemu ya promosheni kisha nawe kupata kodi yako maalum itakayokupa bonasi ya Tsh.10,000/= pindi uliyemualika atakapolipa mkopo wake wa kwanza.

JINSI YA KUOMBA MKOPO
1.Hatua ya kwanza, download Application ya branch kwenye simu yako.
View attachment 939375

Baada ya kudownload ifungue application yako ya branch na kisha:-
(a)chagua lugha.
View attachment 939376

(b)chagua ama sajili akaunti mpya.
View attachment 939378

(c)chagua sajili na nambari ya simu au facebook, kama ukichagua facebook hakikisha jina lako la facebook linaendana na jina la kitambulisho chako.
View attachment 939908

2.Hatua ya pili, jaza namba yako ya simu eidha ya Tigo au vodacom.
View attachment 939912

3.Hatua ya tatu, jaza taarifa zako chache zinazohitajika.
View attachment 939914

4.Hatua ya nne, jaza namba yako ya simu utakayopokelea mkopo wako.
View attachment 939917

5.Hatua ya tano, chagua kiasi cha mkopo unachotaka kukopa na muda wa marejesho eidha kwa kila wiki au mwezi kisha bonyeza omba mkopo huu
View attachment 939918

6.Hatua ya sita, thibitisha namba yako ya tigo-pesa
ama m-pesa.
View attachment 939920

7.Hatua ya saba, baada ya kuomba mkopo bonyeza Dhibiti akaunti yako.
View attachment 939921

8.Hatua ya nane, kisha hariri sehemu ya promosheni ili kujaza kodi ya mualiko ya rafiki yako au kodi maalumu ya kampuni ili kupata bonasi ya pesa taslimu.
View attachment 939922

9.Hatua ya tisa, jaza kodi ya mualiko ya ya rafiki yako au jaza kodi maalum ya kampuni ambayo ni FQNJLB kisha bonyeza "Tumia kodi maalum" ili uweze kupata bonasi ya Tsh.10,000/= pindi utakapolipa mkopo wako wa kwanza kwa wakati.
View attachment 939924


10.Hatua ya kumi, baada ya maombi yako kupitiwa ndani ya dakika chache utapokea mkopo wako kwenye akaunti yako ya Tigo-pesa ama M-Pesa.
View attachment 939931

Baada ya kupokea mkopo wako ingia kwenye akaunti yako kuthibitisha kupokea mkopo wako kwenye akaunti yako ya Tigo-pesa ama M-pesa.
View attachment 939934

JINSI YA KUFANYA MAREJESHO
Ili kupata taarifa ya marejesho yako, bonyeza kwenye menu upande wa juu kushoto na uchague "mkopo wangu" kisha utaona tarehe za marejesho yako na kiasi unachotakiwa kurejesha kwenye tarehe husika.

View attachment 939940
Vodacom
Ingia kwenye menu yako ya m-pesa na uchague "lipa kwa m-pesa" na ujaze namba ya kampuni ambayo ni 256699 na namba ya kumbukumbu ni namba yako ya simu uliyojisajilia branch.

View attachment 939943


Tigo
Ingia kwenye menu yako ya tigo pesa na uchague "lipa bili" na ujaze namba ya kampuni ambayo ni 256699 na namba ya kumbukumbu ni namba yako ya simu uliyojisajilia branch.

Kisha ingia kwenye akaunti yako kuthibitisha kuwa marejesho yako yamepokelewa.

Ichukulie Branch Kuwa Tawi La Bank Kiganjani Mwako
 
Back
Top Bottom