Si utumie hizohizo sasa?? 😀😀Naomba mtu wa kunikopesha kama milioni 2 hivi. Hela za kulipa ninazo
Jibu mubashara kabisaSi utumie hizohizo sasa?? 😀😀
Naomba mtu wa kunikopesha kama milioni 2 hivi. Hela za kulipa ninazo
Haa ha ha, mkuu, wewe na mchekeshaji/mleta UZI wote mnafanana tabia; anyway, watu wamechangia UZI hu bila kukumbuka kama wapo jukwaa la joke.Nyie hamjui kukopa kipaji eeeh!