Mkopo wa riba nafuu

Kwa wale wote wenye dharura wasiliana nasi ili tukusaidie unapohitaji riba kwa mkopo wa dharura
 
Na sekta binafsi kwa makubaliano maalum
Kwa sekta binafsi vitu gani mnaangalia? Na je mfanyakazi aje na vitu gani eg salary slip labda inayoonesha kiasi anachopokea au barua ya kazi kutoka kwa mwajiri n. K....... Nahitaji kujua hapo
 
Tuko wazi Monday to Sunday saa nne asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. Karibuni ofisini kwetu
 
Kwa sekta binafsi vitu gani mnaangalia? Na je mfanyakazi aje na vitu gani eg salary slip labda inayoonesha kiasi anachopokea au barua ya kazi kutoka kwa mwajiri n. K....... Nahitaji kujua hapo
Kwa mfanyakazi binafsi tutahitaji salary slip na barua ya mwajiri wako pia bank statement inayoonyesha mshahara wako bila kusahau kitambulisho cha kazi
 
Naitaji mkopo wenu lkn amja nipa fiil back iko vipi
 
Kwa mfanyakazi binafsi tutahitaji salary slip na barua ya mwajiri wako pia bank statement inayoonyesha mshahara wako bila kusahau kitambulisho cha kazi
Ok kwa mfanyakazi wa serikalini je ni vitu gani vinahitajika?
 
Mbona mwisho milion sasa weken hata na milion 3
 
Financial institution iko Keko, duh.... Huko si ndio makao makuu ya vibaka?
 
Financial institution iko Keko, duh.... Huko si ndio makao makuu ya vibaka?
Kwa hiyo Keko hamna financial institutions zozote? Mbona Exim bank wana branch Keko? TRA nao mbona wana branch Keko? [emoji57]
 
Ndio mkuje ofisini tutajuana huko.

Ww umekuja fanya nn huku kama una ofisi..? Si ungetangaza ofisini kwako, stop being arrogant hujui biashara ww.. Tapeli ww, ndio nyie mnaweka riba 75%.. wildbeest
 
Ww umekuja fanya nn huku kama una ofisi..? Si ungetangaza ofisini kwako, stop being arrogant hujui biashara ww.. Tapeli ww, ndio nyie mnaweka riba 75%.. wildbeest
I want to assume that you were not reffering to me maana kama ni matusi hata mimi nayajua but let me keep my mouth shut coz am dealing with business here [emoji57] [emoji57] toa stress zako hapa shwain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…