Wana jf naomba maelezo anaelielewa vizuri hili,mfano mimi ni mwl wa siku nyingi nimepata ajira nyingine utumishi halafu nilikuwa nadaiwa mkopo NMB swali langu huo mkopo utalipwa mkurugenzi au wataendelea kunidai?

Kwa kawaida mdhamini wako ambaye ni mkurugenzi anawajibika kuulipa maana wewe kinga yko ilikuwa pension so hazina watakuwa wanatoa kiasi unachodaiwa tu kwenda benk ila amount nyingine haitaingia.benk haifanyi kaz ya kumtafuta mtu hasa mtumishi setikali itawajibika wala hutasikia eti unatafutwa wala mshahara wako mpya hauhusiani na mkopo kama ni kada tofauti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.