Private Sector
Member
- Apr 17, 2014
- 7
- 1
Wakuu, nahitaji loan ya mill 1 Tshs nimepungukiwa katika kuanzisha biashara yangu.Niko Dar.Dhamana nilizonazo ni vitu kama friji, sofa etc. Uwezo wangu ni kurejesha kwa miezi 2 au 3 kwa riba isiyozidi 15 percent per month.Asanteni sana.