MKOPO WA KIKUNDI EQUITY BANK

MKOPO WA KIKUNDI EQUITY BANK

ealy little

Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
9
Reaction score
10
Habar wakuu ,me ni mjasiriamali nilihitaji mwenye kujuwa kuhusu bank ya equity kuhusu mikopo ya vikundi wanayotoa naskia wako vizuri na hawana usumbufu ,,mwenye kuwajuwa vizur naomba mrejesho

Cc@equity bank
 
Yaelekea wewe ni mstaarabu sana.
pia ni mrembo sana.
huogopi mikopo ya kikundi?
 
Yaelekea wewe ni mstaarabu sana.
pia ni mrembo sana.
huogopi mikopo ya kikundi?
Kweli jamaaa atakuwa mstaarabu sana. Ukope kwy vikundi kulivyo na shida ya kuzurumiana, yaani sitaki kusikia mambo ya vikundi hata kama ni ndugu yangu. Kwy vikundi kuna kutapeliana sana
 
Hebu wacheki Mkombozi bank,wanatoa mikopo ya vikundi bila hata ya Dhamana aka Collateral....

Tangazo lao nililiona kanisani

Back
Top Bottom