demu wa kikinga
Member
- Mar 21, 2018
- 46
- 14
Mmh
Uzi tayari???
Maliza kuosha vyombo kwanza
Mkopo upo uko tayari kutoka kitu cha sumaku?
Uzi tayari???
Maliza kuosha vyombo kwanza
Mkopo upo uko tayari kutoka kitu cha sumaku?
Toa kafara mkuu utaipata fasta,,wakinga mpo safi kipande hiyo
Nimefuatilia post zako.... Uneumizwa kihisia kwenye mahusiano unatafuta kulipa kisasi na umeshatumia pesa nyingi kwa waganga na hujapata suluhu bado