Mkopo wa haraka kwa riba nzuri unahitajika!

Mkopo wa haraka kwa riba nzuri unahitajika!

Mr. PriceKing Two

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2014
Posts
235
Reaction score
45
Wakuu kuna mtu anahitaji mkopo wa dharula Tsh milion 3 atarejesha milion 4 ndani ya miez 2 tuu, dhamana yake hati halali ya nyumba ipo Dsm. Anataka kutoa mazao shambani yanaharibika aweke store. Please ni PM nikupe mawasiliano yupo hapa Dsm pia.
 
Back
Top Bottom