Mkopo wa dharula

Mkopo wa dharula

Lulu92

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
27
Reaction score
7
Habari wapendwa nimepata matatizo nina shida ya mkopo wa dharula kwa waliopo Morogoro au popote pale nipo tayari kwa riba yoyote tareh 28 narudisha au kabla ya hapo, au kama kuna mtu anafahamu wanapotoa mikopo ya dharula kwa Morogoro naomba anielekeze tafadhali, nipo tayari kwa riba yoyote.
 
Laki 7 nipo tayari kwa riba yoyote maana tuna matatizo makubwa
Punguza mhemuko, kama una mali yako au kitu cha thamani ni bora uuze.

Kuchukua mkopo kwa riba yoyote utakuja kujutia baada ya kutatua tatizo hilo.

Pole sana, Tafuta njia mbada hata michango kutoka kwa ndugu ili kupunguza hicho kiasi baada ya hapo itakayobaki ndio ukope. Uwe na siku njema.
 
Laki 7 nipo tayari kwa riba yoyote maana tuna matatizo makubwa
Pesa kiwango kama hiki,kinataka 'security' kama utarudisha na tegemeo lako ,yaani kama huna sasa hiyo tarehe ya kurudisha utapata wapi na hasa kama shida bado hujafanikiwa kuitatua.kama unaamini una maelezo mazuri kuhusu maswali yangu njoo in box.
 
Sawa nakuja
 
Natuma SMS ila zinakataa kuja
 
Una uhakika na unachosema ? RIBA YOYOTE. Ulanguzi katika fedha ni kama jini unaweza kupata hizo fedha riba ikawa ya juu halafu siku saba zikaisha na ela ya watu usipate..ndio utajua hujui Riba ni nini.
 
Pesa huwa napokea tareh 28 nina uhakika wa kulipa, nina shida sana ndo maana nimeomba tu Riba yoyote sababu hiyo shida natakiwa kuitatua leo kaka ila uhakika wa kurudisha upo asilimia zote
 
Unaweka nini dhamana? Kama una dhamana inayozidi thamani ya pesa hiyo mara mbili.. itaje mimi kukusaidia nitakupa pesa bila riba.. ila uwe na guarantee ya nguvuuu.. maana pesa yangu lazima niilinde...
 
Dhamana nina pikipiki
 
Back
Top Bottom