Mkopo mkopo

newbeliever

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
248
Reaction score
48
Habarini!!

Kuna emergency imempata ndugu yangu flani/ mwanafamilia!!
Anashida na mkopo wa milioni mbili (2,000,000) . wa haraka.
Dhamana ataweka nyumba yake! Haina tatizo lolote lile na ina vibari vyote!!
Yeye anapatikana Kagera ,dhamana hiyo ipo Karagwe!!
Kama kuna mtu anaweza kutoa mkopo huo naomba tuwasiliane ili niweze kuwaunganisha ili muweze kuongea nyie wawili;



Namba yangu ni 0744 59 74 93

NOTE!! Nimuhimu sana na haraka sana!!

Asanteni
 

Bado kuna uhitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…