nenda crdb wanakopesha au kuna ofisi moja inaitwa TUNAKOPESHA wana matawi kila mkoa nadhani wanaweza kutatua tatizo lako, ama kama upo zanzibar kuna jamaa anaitwa Hassan KIRINGO anatowa misaada kama hiyo bure namba yake ni 0777 421904Ndugu zangu wanaJF nimepatwa na tatizo nahitaji mkopo wa fedha sh.milioni mbili.Ndani ya mwezi mmoja nitakuwa nimerejesha.
Kwa yeyote mwenye uwezo ama anaefahamu watu wanaoweza kunisaidia aniPM anambie masharti na vigezo.
Natanguliza shukrani
nenda crdb wanakopesha au kuna ofisi moja inaitwa TUNAKOPESHA wana matawi kila mkoa nadhani wanaweza kutatua tatizo lako, ama kama upo zanzibar kuna jamaa anaitwa Hassan KIRINGO anatowa misaada kama hiyo bure namba yake ni 0777 421904
hahaha umenistuwa sana kuwa unamjuwa huyo hassan anaesaidia watu wa aina hiyo lazima itakuwa ulishawahi kupita kwake maana haiwezekani tu umjuwe bure bure, mimi ni mdogo wake sasa kama hujuwi hiyo kitu ndio tambuwa.ooooh!hassan yule anaewasaidia michicha mwiba kama wewe mnaotumia ASILIMALI badala ya RASILIMALI?
Mi sihitaji msaada nahitaji mkopo,it's strictly business!
Sonso huwezi elewa hii makitu!
hahaha umenistuwa sana kuwa unamjuwa huyo hassan anaesaidia watu wa aina hiyo lazima itakuwa ulishawahi kupita kwake maana haiwezekani tu umjuwe bure bure, mimi ni mdogo wake sasa kama hujuwi hiyo kitu ndio tambuwa.
mbona kama mwajuana yakheeeeeeeeeeeeUlipokuwa unakatazwa usikae na kinamama jikoni ukawa unaendekeza tumbo!,wenzio wanacheza ngumi nje we unalamba mwiko!
Watu walijua tumbo huponza ----,unaona sasa ulivyokuja kuwa.,mtoto Jumapili!
Tukikupungia na wewe,PUNGA!