Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,704
Uko wapi
Weka cm bond
Tumsaidie mwaka jf mwenzetu
OVA
Duh uko bar gani kwani ?
Bili imekuja sh .ngapi ?
Hauna watu ambao watakupa kama kweli una uaminifu huo huko mtaani unafikiri huku tutakuaminije
Uko wapi
Si yupo member hapo kajitokeza kukusaidia mkandumbwe kwenye post #8.
Kama unatumia laini ya voda download branch application watakukopesha hiyo pesa fasta tu
Nimeshatoka kazini mkuu...nakutumia in 1hr.Yupo mbali na ameshindwa kutuma. Kama ikifanikiwa nitaleta mrejesho na nitafunga huu uzi