Mkopo kwa waliofanya transfer

Mkopo kwa waliofanya transfer

Ni baada ya chuo ku-submit majina TCU, TCU itapeleka majina hayo HESLB tarehe 30 November. Hata mimi nimeomba transfer japo sijaambiwa ni lini kuripoti
 
tcu haitakuambia ni lini uripot chuoni ulipo omba tranfer ni wewe ndio mwenye jukumu la kurepot chuoni ulipoomba kuhamia ili upate usajiri pia ukikaa home unasubiri tcu ikwambie lini ureport itakula kwako.
 
Ni baada ya chuo ku-submit majina TCU, TCU itapeleka majina hayo HESLB tarehe 30 November. Hata mimi nimeomba transfer japo sijaambiwa ni lini kuripoti
vp mkuu majibu ya transfer ya mkopo yamefikia wap? ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom