Mkopo kwa GPA ya 3.0

Mkopo kwa GPA ya 3.0

new fish

Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
10
Reaction score
5
Jmani nilikuwa na uliza vipi kuhusu tuliokuwaa na GPA ya3.0 natulishaa apply mikopo kipndi chazamani kabla hawajapandishaa GPA na tukaa ruhusiwaa kuaaply tena hvi karbuni je tunawezaa kupta??
 
mkopo utapata ila tcu walisema kama ulisha apply chuo before awajapandisha gpa ulikuwa unaacha ile ile profile uliyofungua mwanzo ndio itatumika vp uli apply tena kwa kutoa elfu hamsini nyingine
 
Mtapata mana bodi ya mkopo haiangalii jpa yako inangalia chet cha fom 4 na chuo ulichopangiwa
 
Walishatangaza kwamba kwa hawa mliojaza now hakuna mkopo
 
Aliapply mkopoo alafuu akashindwaa Ku apply chuo kwasababu hkutimzaa vgezo now ndo kaaply
 
hupati majina yenu yalikuwa already cancelled
 
Wenye diploma wanayo haki na uhalali sawa na waliomaliza kidato cha sita ktk kupata mkopo alimradi tu wawe wamekidhi sifa na vigezo vya kusoma kozi waliyoomba.
 
Back
Top Bottom