Wadau naomba msaada wenu, natafuta campuni inayotoa mikopo kwa riba na masharti nafuu, ili niongeze mtaji wangu kwenye biashara. Ukitaja campuni naomba na Contacts itarahisisha sana.
Nami pia ningependa kujua taasisi yoyote ya kifedha inayotoa mkopo wa vifaa vya biashara kwa wafanyakazi wa serekali iwe ni mashine gari au vifaa vingine vya biashara.