Mkopo Bank

Mkopo Bank

Bloze

Member
Joined
Nov 15, 2023
Posts
23
Reaction score
56
Habari JF

Nina omba msaada wa mawazo yenu.. hivi kwa mfano ukiwa na fixed deposit akaunti kiasi cha sh.mil 100 unaweza kuifanya kama dhamana ya kukopea bank, halaf riba ndo iwe inalipa mkopo wako wote?
 
Unatakiwa uwe na biashara at least yenye umri wa mwaka mmoja
Kiwango utakachopewa itategemea na turn over ya mwezi baada ya kuondoa gharama za msingi
 
Ndiyo, inawezekana kutumia Fixed Deposit (FD) kama dhamana (collateral) kupata mkopo kutoka benki. Wao wanaita Loan Against Fixed Deposit (LAFD).

Ila kiasi cha mkopo na riba utakayolipa kwa benki ni vitu vya kuzingatia, kwani riba unayopata kwenye FD mara nyingi ni ndogo kuliko riba ya mkopo, kwa hiyo hutaweza kulipa mkopo wote kwa kutumia riba pekee.
 
Maelezo mazuri sana mkuu
 
Back
Top Bottom