Habari!!!
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mwaka wa kwanza. Niko katika hatua za usajili lakini nimepungukiwa laki 4 kukamilisha usajili. Mkopo kutoka bodi (HESLB) nimepata, ila kuingiziwa ni mpaka kukamilisha usajili (Itachukua kama wiki 3 toka kukamilisha usajili).
Nahitaji Mkopo wa haraka, ili nikamilishe usajili, nitalipa deni kutokana na hela ya mkopo nitakayoingiziwa. Niko tayari tuandikishane.
Unaweza kunipigia 0657942420