Mwisho wa yote ilikuwa hivi, huko Zambia UNIP, Kenya KANU na maeneo mengine vyama hivyo vimekuwa pinzani vinalalamikia sheria mbaya wakati vyama hivyo vilipitisha hizo sheria vikiwa madarakani. Hapa Tanzania yatatokea hayo CCM watakuwa wapinzani watalia kwa sheria hizi kandamizi, wakati huu wanacheka mpaka magego yanaonekana.
Mwanasheria mkuu wa Serikali naye kawa Mwanasiasa wa CCM kama tulivyomuona jana jioni.
2015 Mungu tupe uhai tufike salama tupige kura, tusimamie kura, tuhesabu kura na kupata matokeo.
Tatizo ni watanzania wengi tuna akili ngumu ya kuelewa, vinginevyo CCM leo isingekuwa inaendelea kufanya inayoyafanya, chaajabu pamoja na udhaifu wa ccm na uongozi wake, bado wapo watu wanaikumbatia huku wakilia.... hali ngumu.. maisha magumu.. nk
Kwa hali hiyo safari ya ukombozi ni ndefu kuliko tunavyodhania...
CCM sio wanafiki. Serikali ya CCM inaendesha nchi ki-dictator. wananchi wengi hawalioni hilo. Watu hawaruhusiwi kuonyesha misimamo yao dhidi ya ufedhuli wa serikali, na ikitokea mtu akathubutu anaadhibiwa vikali.Ccm ni wanafiki sana!haya yote wana fanya kwa kuwa police,mahakama na jeshi ni vyao sababu haiingii akilini taarifa ilishaa tolewa halafu police wapo eneo la tukio wakikodoa mimacho tu!sasa kweli naamini Tanzania hakuna chombo huru!
****policmm...