Habarini wandugu humu jukwaani,
Mimi ni mmoja wa wanaoishi kwa kutekeleza kanuni za wenye nyumba.
Ipo hivi; wiki iliyopita kahamia Dada anayetazamika hasa na kuteka akili. Sasa Jana nilitoa nguo zangu nikawa nafua kwa kweli zilikuwa nyingi kiasi za mwezi. Natumia mkono wa kushoto. Hata hapa napoandika natumia mkono wa kushoto.
Binti alikuwa anaenda kuoga akanikuta nafua. Baada ya salamu "Ohooo kumbe unatumia mkono wa kushoto?" Nikamwambia kama unavyoona. Akaniambia nakusaidia kufua kisha ndo ntaenda kuoga. Kweli wa kike nikafua nae huku nikichombeza. Akaniambia mpenzi wake alikuwa anatumia mkono wa kushoto.
Sasa ni marehemu. So alivyoniona natumia mkono wa kushoto akajihisi mwili unamsisimka. Binti bila hiyana kasaini penzi Jana ile ile nikula vyangu kumbe mademu wanavutiwa na vitu vidogo mnoo.
Asante mkono wa kushoto.