FortJeasus
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 604
- 405
Tuwasikia na tunasubiri kama kweli wana nia njema waipige ccm chini
Kinachonishangaza kama huu ulikuwa ni msimamo wa wabunge wa CCM, Zitto anaingiaje kwenye hii movie??
Ninavyojua hawa jamaa CCM sikuzote hawataki kuona wapinzani (CHADEMA) wakilamba mali mahali popote. Ilikuwaje wakakubaliana na hoja ya Zitto? Na Filikunjombe anasema hii ilikuwa inakusudia kuinusuru serkali na chama chake!!!
Je Zitto alikuwa na taarifa kabla? Au alijua agenda hii hatimaye itaijengea heshima CCM na Mkulu JK?? Au ni coincidence?
Nisaidieni mawazo jamani.
Hongera Mheshimiwa Nimrod Mkono kwa hili nakuunga mikono na miguu mna ni viongozi wachache wenye roho kama yako uzi huo huo usitetereke hata kidogo....karibu sana kwenye chama chetu cha CUF kma upo tayari......
Keshaondolewa kwenye ile orodha maarufu ya mafisadi Mwembeyanga?Kuna mwanga unaanza kupatikana..nadhani ni vema sasa tumuongeze Mkono katika ile list ya wabunge wa CCM walioomba kuwekewa nafasi CHADEMA....
Mkapa anayo kesi ya kujibu kuhusu kifo cha mwalimu
Mkono na wenzake hawatafukuzwa kwa sababu za kutia sahihi ya kutokuwa na imani na Pinda.Ukiwafukuza unatangaza vita na wananchi.Labda CCM wabuni njia nyingine ya kuwatafutia kosa.Lakini sidhani kama wao wataamua kuondoka CCM,bado kuna maslahi binafsi wakikaa CCM.Hapo patamu tunasubili ukombozi na watatafuta nafasi wakati tumeshajaa njooni mapema mliowasafi.
Keshaondolewa kwenye ile orodha maarufu ya mafisadi Mwembeyanga?