Informer
JF-Expert Member
- Jul 29, 2006
- 1,599
- 6,669
Mamlaka ya mapato Tanzania, kitengo cha walipa kodi wakubwa wamezuia mali za kampuni ya uwakili ya Mkono kwa kudaiwa kodi yenye thamani ya shilingi za kitanzania Zaidi ya bilioni moja.
TRA imetuma barua kwa kampuni ya minada ya Yono na jeshi la polisi ili kuzuia mali za kampuni ya mkono na kuziuza au kuziweka kwenye mnada ili kufidia kodi na gharama zote za usumbufu kulingana na sheria ya kodi.