Mkongo wa Taifa

kabiriga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
1,163
Reaction score
1,214
Huu Mkongo wa Taifa umekunufaishaje katika huduma za internet.?
 
wizi tu na serikali ya ccm.mwanzo niliona matangazo kibao TBCCM kwel hii tanzania.
 
Gharama haziwezi kushuka kwani mawasiliano ndio kitega uchumi kikubwa cha kodi zinazotozwa na hawa mafisadi ,Kwa sasa hii secta ndio wanapovuna! Si tunakumbuka makampuni ya Simu yalitetea wateja wasilipie line za Simu? Sasa kibano kimeelekezwa kwetu wateja internet juu, airtime juu na hakuna fisadi yeyote anayepigia debe faida ya mkongo wa taifa kwani wanajua ukweli kuwa ilikuwa danganya Toto! Ni km wanavyotudanganya kuwa gesi itashusha garana za umeme lkn ikishachotwa huko ilipo gharama zitakuwa hizihizi na watakuwa kimyaaaa!
 
Kipindi cha kufaidi hii kitu bado maana ile mikataba ya kutumia satelite insteady of fiber bado ipo na mataifa makubwa hayawezi kutuacha tuhame ghafla so ni step by step year after years mpk tutakapokua free to utilize it to the fullest....

Mpaka sasa gharama zmepungua sana ila kuna vikodi tunavilipa vinaongeza gharama za mitandao....

Hivi ushawahi kujiuluza ile kodi ya line kila mwezi sh. 1000 ilifia wapi??? Au wanasiasa walivyokaa kimya na we ukaridhika???? Je baada ya kukaa kimya uligundua upungufu wowote kwenye vocha na airtime he vifurushi???
all in all hakika bei za internet zmeshuka na zitakuja kushuka maradufu
 
Imesaidia sana kuongeza spidi ya internet hasa wale wa maofisini walionganishwa na ttcl moja kwa moja,tofauti na ukipitia makampuni mengine(isp) coz huchukua kutoka kwa t.t.c.l
 
Bei imeshuka sana jamani, 1000 nashusha Gig moja na zaidi kwa siku!
Nyie labda ni wageni mtandaoni, maana mimi nimeanza kutumia net buku mbili kwa saa tena kwa dial up modem! na hiyo ni 90s ambapo buku mbili ilikuwa hela kweli!
Ukiwe kwenye jengo lenye fiber ndo spidi unayoipata ndo balaa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…