Mkongo wa Taifa

kabiriga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
1,163
Reaction score
1,214
kati ya vitu ambavyo vimepigiwa upatu na kelele nyingi juu ya kukua kwa mawasiliano (TEHAMA)nchini na wengine kwenda mbali zaidi kusema Tanzania kitakuwa kitovu cha mawsiliano kati ya nchi za Africa mashariki.Lakini mimi sioni jitihada na dhamira ya kweli kwa wahusika,kwani mkongo wa mawasiliano ambao walisema ndo kitakuwachanzo ,sioni kufana kazi bali blabla nyingi.nimeenda kuuliza TTCL kampuni iliyopewa dhamana yakusimamia mkongo huo ,hakuna majibu ya kueleweka,kwani awajui kinachoendelea zaidi ya kusema tunangoja serikali.
 
Ngoja wataalamu waje waseme mchakato unaendelea na sasa tumeishafika phase 34. Kati ya miradi ya ajabu ambayo imekuwa very slow nafikiri huu ni mmojawapo. Business as usual.
 
Wanachojua ni kuhamia digitali lakini mambo ya muhimu kama haya yatachukua karne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…