wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,171
- 1,129
Asilimia kubwa ya wanga sio wachawi na wengi hufanya kwa kujifurahisha tatizo ni pale utakapokutana na mchawi mwangaje mshana jr kama umepatwa na tatizo hilo tafadhali tufahamishe jinsi kutibu baada mlipa kisasi kulipa kisasi kulipa kisasi dawa kujiponyesha mwaga mboga baada ya kumwaga ugali
Hauwezi kufanikiwa na tabia zako kufundisha watu uchawi na ulozi, kumbuka hapa duniani Mungu ni mmoja tu aliyeumba Mbingu na nchi na atabakia hivyo milele.Leo nafundisha live...!!! Kwa wale wasiopenda natanguliza kuomba radhi TUVUMILIANE kuna baadhi wanaohangaishwa yatawafaa
Wanga ni watu hovyo sana hukufanyia mambo ya kukuchosha mwili na vitu vya ajabu ajabu bila faida yoyote
Hivyo basi mtu wa kaliba naye hana budi kupata shida kidogo pale inapobidi
Tafuta ufanikiwe kupata mchanga wa nyayo zake akiwa peku,tafuta ndulele tatu jivu pilipili kichaa au ----- na kipande kidogo cha kaniki....changanya vyote ikibidi twanga ongeza na matone kadhaa ya damu yako kisha funga kaza sana kwenye kipande cha kaniki
1. Sigina na kisigino huku ukinuizia kama unataka miguu imuume
2. Choma na sindano ukitaka miguu ichome chome
3. Banika motoni ukitaka miguu yake iwake moto
4. Kaanga kwenye kikaango kikavu ukitaka miguu imuwashe
Fanya hivi kama unaamini hizi mambo na una roho mbaya ya visasi...kumbuka kuna hukumu siku ya kiama
Sihusiki na matokeo ya matendo yako
Hii ndio njia rahisi sasa yanini upoteze muda kumvizia mpaka awe peku uchukue mchanga wa nyayo zake. Ngoja nikanunue bob marley zangu nijipige vitu nikikamatwa na polisi nasema dawa ya kumkomoa mwanga usiku silali nateseka.Mh mbunge Msukuma alishaona umuhimu wa hii kitu. Bas ndo maana marehem bob marley alipata mafanikio makubwa kwenye mziki kwa sababu alikuwa harogeki wanga wanamkimbia.
imebidi tu niweke post inayotoa rai ya kuhalalisha matumizi ya bangi maana naona ina wateja wengiWee junya Kama huipendi na haikufai ipotezee ficha umaku wako Sawa bibie!wengine imatufaa kiazi weweKuna watu akili zao zimedumaa kwa kuwaza uchawi na ulozi siku zote na wakati hayo mambo ni uchafu na takataka kuliko uchafu na takataka zote duniani.
Ni afadhali kichaa ambaye anashinda jalalani kuliko mtu aliyeshikilia uchafu wa uchawi na ulozi.
Mtu ambaye akili yake siku zote inawaza uchawi na ulozi **** mana haiwezekani mtu aliyezaliwa na kulelewa katika maadili mazuri akawa na mawazo machafu kama mshana ya kuwaza uchawi na ulozi kila siku.
Ukweli mchungu, mtapiga sana kelele ninyi wangaWee junya Kama huipendi na haikufai ipotezee ficha umaku wako Sawa bibie!wengine imatufaa kiazi wewe
Wewe ni mchelemchele tu ndo maana huishi kujipendekezaUkweli mchungu, mtapiga sana kelele ninyi wanga
Wewe ndiyo unatakiwa mungu akurehemu mbona silaha zinauzwa dukani na ni hiyari yako ukanunue uitumie kuua binadamu mwenzako au mnyama na pia hilo somo na amekupa angalizo un a hiyari kufuata au kukataa uchawi upo hata kwenye vitabu vya dini umeandikwa na siyo kila kitu Mungu atakufanyia ndiyo maana umepewa akili ya lupambanua mema na mabaya na suala la kujihami na adui unatakiwa ufanye yale unayoyafahamu wewe kama binadamu na yaliyo nje ya uwezo wako Mungu atakusaidia ndiyo maana unafunga mlango ingelikuwa kila kitu ni Mungu basi hata milango tusingefunga kwakuwa mungu atakulinda hebu jaribu kutokupisha ambulance uone mungu atakulinda au??? IMANI ZINGINE JARIBUNI KUTAFAKARI KWA KINA KABLA YA KUKURUPUKA MIMI NAMPA BIG-UP MSHANA ENDELEA KUSHUSHA SOMO LA KAMATI YA UFUNDI ILA NI NANI UTAMPATA AKIWA PEKU SIKU HIZI NA KUNA WENGINE UKICHUKUA NYAYO ZAO KAMA MIMI HULALI SASA HAPO INAKUWAJE???
Wewe ni mbwa tu, kamwite mwenye mbwa mshana kigagula ajibu.Wewe ni mchelemchele tu ndo maana huishi kujipendekeza
Junya ni junya tuuWewe ni mbwa tu, kamwite mwenye mbwa mshana kigagula ajibu.
Sitochoka kuwapiga vita na imani zenu zilizojaa uchafu na takataka.
Hivi mnataka kuturudisha karne ya 9 na mambo yenu ya kishenzi so mnataka watoto wanaojiunga JF leo wajifunze nini na huo ushenzi wenu ?.
Shame on you.
Toa dawa rafiki mfupa wa mbuzi katoliki nomaChoma mfupa wa noa vukiza moshi wake chumbani
Wapuuzi huwa hawajibiwi
Endeleeni kujipa moyo ninyi wanga, ninyi ni vichaa tu, mana haiwezekani mtu mwenye akili timamu akawa na mawazo ya kishenzi kama hayo.Junya ni junya tuu
Naona una hamu ya kuchokonolewa ila Hakuna anayekutaka hapa katafute basha mwingine ukikosa jikite cha katiEndeleeni kujipa moyo ninyi wanga, ninyi ni vichaa tu, mana haiwezekani mtu mwenye akili timamu akawa na mawazo ya kishenzi kama hayo.
Maisha yamewachanganya hadi mnakuwa vigagula hapa JF.
Hatari sana
We ni kichaa tu.Naona una hamu ya kuchokonolewa ila Hakuna anayekutaka hapa katafute basha mwingine ukikosa jikite cha kati
HUO MCHANGA WA NYAYO ZA MWANGA UTAZIPATAJE, HIYO SI NI SAWA NA KUTAFUTA MAVI YA MAMBA......?Leo nafundisha live...!!! Kwa wale wasiopenda natanguliza kuomba radhi TUVUMILIANE kuna baadhi wanaohangaishwa yatawafaa
Wanga ni watu hovyo sana hukufanyia mambo ya kukuchosha mwili na vitu vya ajabu ajabu bila faida yoyote
Hivyo basi mtu wa kaliba naye hana budi kupata shida kidogo pale inapobidi
Tafuta ufanikiwe kupata mchanga wa nyayo zake akiwa peku,tafuta ndulele tatu jivu pilipili kichaa au ----- na kipande kidogo cha kaniki....changanya vyote ikibidi twanga ongeza na matone kadhaa ya damu yako kisha funga kaza sana kwenye kipande cha kaniki
1. Sigina na kisigino huku ukinuizia kama unataka miguu imuume
2. Choma na sindano ukitaka miguu ichome chome
3. Banika motoni ukitaka miguu yake iwake moto
4. Kaanga kwenye kikaango kikavu ukitaka miguu imuwashe
Fanya hivi kama unaamini hizi mambo na una roho mbaya ya visasi...kumbuka kuna hukumu siku ya kiama
Sihusiki na matokeo ya matendo yako