kitimoto mkuu,Nova ndyo Mnyama gan anapatkana apa dar
Mwanga anakuchosha tu na kukutisha kwa vituko anavyokufanyia usiku lakini hakudhuru
Mchawi hana usiku wala mchana na anachokufanyia kina madhara na kinaumiza
Hahahaaa unahusika sana na matokeo ya ushaur wako mkuu...kwan bila wew kutoa hayo maujanja wapo wasingejishughulisha leave along kujiingiza kwenye hizo iman..Leo nafundisha live...!!! Kwa wale wasiopenda natanguliza kuomba radhi TUVUMILIANE kuna baadhi wanaohangaishwa yatawafaa
Wanga ni watu hovyo sana hukufanyia mambo ya kukuchosha mwili na vitu vya ajabu ajabu bila faida yoyote
Hivyo basi mtu wa kaliba naye hana budi kupata shida kidogo pale inapobidi
Tafuta ufanikiwe kupata mchanga wa nyayo zake akiwa peku,tafuta ndulele tatu jivu pilipili kichaa au ----- na kipande kidogo cha kaniki....changanya vyote ikibidi twanga ongeza na matone kadhaa ya damu yako kisha funga kaza sana kwenye kipande cha kaniki
1. Sigina na kisigino huku ukinuizia kama unataka miguu imuume
2. Choma na sindano ukitaka miguu ichome chome
3. Banika motoni ukitaka miguu yake iwake moto
4. Kaanga kwenye kikaango kikavu ukitaka miguu imuwashe
Fanya hivi kama unaamini hizi mambo na una roho mbaya ya visasi...kumbuka kuna hukumu siku ya kiama
Sihusiki na matokeo ya matendo yako
Mchawi anaweza kuwanga kwakuwa hii ni level ya juu zaidi lakini baadhi ya wanga hawawezi kurogaMkuu bado hujafafanua vema kuhusu mchawi na mwanga. Je mchawi hawezi fanya matendo ya kiwanga wanga na pia mchawi yuko je? Je mchawi ni yule anayefanya shiriki?
Unapoenda kwa mganga wa kienyeji unajua ni kwanini hahusiki na matendo ya matokeo ya kile utakachofanya? Ni kwasababu yeye anakuelekeza tu lakini vitendo unafanya mwenyeweHahahaaa unahusika sana na matokeo ya ushaur wako mkuu...kwan bila wew kutoa hayo maujanja wapo wasingejishughulisha leave along kujiingiza kwenye hizo iman..
So u are accountable for your words/muongozo
Jamn huyo bb mkund* wote c uko nje??
Unapoenda kwa mganga wa kienyeji unajua ni kwanini hahusiki na matendo ya matokeo ya kile utakachofanya? Ni kwasababu yeye anakuelekeza tu lakini vitendo unafanya mwenyewe
Kwahiyo mimi hapa siwajibiki kwa matokeo yoyote yale
***Hahahaaa unahusika sana na matokeo ya ushaur wako mkuu...kwan bila wew kutoa hayo maujanja wapo wasingejishughulisha leave along kujiingiza kwenye hizo iman..
So u are accountable for your words/muongozo
Hii ndio njia rahisi sasa yanini upoteze muda kumvizia mpaka awe peku uchukue mchanga wa nyayo zake. Ngoja nikanunue bob marley zangu nijipige vitu nikikamatwa na polisi nasema dawa ya kumkomoa mwanga usiku silali nateseka.Mh mbunge Msukuma alishaona umuhimu wa hii kitu. Bas ndo maana marehem bob marley alipata mafanikio makubwa kwenye mziki kwa sababu alikuwa harogeki wanga wanamkimbia.Nyingine ni more complicated. .....bhangi
Hii ndio njia rahisi sasa yanini upoteze muda kumvizia mpaka awe peku uchukue mchanga wa nyayo zake. Ngoja nikanunue bob marley zangu nijipige vitu nikikamatwa na polisi nasema dawa ya kumkomoa mwanga usiku silali nateseka.Mh mbunge Msukuma alishaona umuhimu wa hii kitu. Bas ndo maana marehem bob marley alipata mafanikio makubwa kwenye mziki kwa sababu alikuwa harogeki wanga wanamkimbia.
Dah..Ukiweka ndani ya freezer itakuwa poa sana .....ππ1. Sigina na kisigino huku ukinuizia kama unataka miguu imuume
2. Choma na sindano ukitaka miguu ichome chome
3. Banika motoni ukitaka miguu yake iwake moto
4. Kaanga kwenye kikaango kikavu ukitaka miguu imuwashe