Mkomoe mwanga

Uzi huu utakuwa unamuhusu huyo kwanini anasema ufutwe wakati watu wanapata elimu ya ulonzi....... Ndio wale wale hao goja wajichanganye tupate nyayo zao tuwape vichomi vya ulimi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ndulele ndio nini mkuu hii ndio inanikatisha nianze na mmoja atakojoa damu *****[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Sitaki nionekane nahamasisha matumizi ya mmea [emoji3]

nijibu kupitia kuchoma mfupa wa Noha ni siku moja tu au kila siku,, then ntajiongeza kuhusu hiyo bob marley
[emoji4][emoji4][emoji4]
 
nijibu kupitia kuchoma mfupa wa Noha ni siku moja tu au kila siku,, then ntajiongeza kuhusu hiyo bob marley
[emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji3] mara 3 kwa wiki sio mbaya
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uuuuuwiiiii hiyo ni chumbani sio mwilini tafadhali

ndio si navutia chumban nikiwa nimejifungia milango,,' sasa hapo kwny mosh wa mmea naumeza au nautolea puan kama wizzy Khalifa [emoji144][emoji144]
 
ndio si navutia chumban nikiwa nimejifungia milango,,' sasa hapo kwny mosh wa mmea naumeza au nautolea puan kama wizzy Khalifa [emoji144][emoji144]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] usiumeze tafadhali utaharibu mapafu yako buuuree
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] usiumeze tafadhali utaharibu mapafu yako buuuree

au niiweke bang kwnye kifuu niache inaungua tu yenyewe mosh si utatoka km kawaida [emoji56][emoji56]
 
au niiweke bang kwnye kifuu niache inaungua tu yenyewe mosh si utatoka km kawaida [emoji56][emoji56]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…