Mkomoe mwanga

Siku zote huwa napita kimya kimya bila kelele. Ila ya leo nimecheka sana, hasa kwenye *****kumbuka.....**** hivyo kila mtu na afanye kwa hasara ya roho yake mwenyewe.
 
Asante Mungu,Bwana wetu kwa muda huu. Ninasogea mbele zako kwa unyenyekevu. Mungu nisamehe dhambi zangu zote. Mungu nisafishe kwa damu ya Mwano Yesu Kristo. Mungu Baba naomba kibali chako kukomesha uongo na ila zote za shetani na matendo yake na yeye mwenyewe. Asante Mungu kwa kunipa kibali. Uongo, ila zote za shetani na matendo yake na yeye mwenyewe shetani vyote ni magugu, tena magugu makavu sana. Magugu haya nayafunga pamoja. Kwa jina la Yesu Kristo, Mungu wetu aliyeziumba mbingu na dunia tena kwa kupitia Roho Mtakatifu ninawasha moto magugu haya. Nina hakikisha magugu yote yamepata moto. Kwa msaada wa Roho Mtakatifu magugu haya yote yaliyoshika moto nayatumbukiza kwenye ziwa la moto lilo chini sana kuzimu. Na joto la ziwa hilo lisipate tena kuifikia Dunia tunamoishi. Na huo ndiyo mwisho wa magugu haya. Asante Mungu kwani unaenda kudhibitisha maombi yangu kama ulivyonielekeza kuwa kwa kila aombaye atapewa na abishaye hodi atafunguliwa. Ni katika Jina la Yesu Kristo nina Amini utatenda. Amen.
 
Mara nyingi huwa tunawahisi watu kwamba flani ni mwanga sasa c unaweza fanya hizo mambo alafu kumbe umzaniaye site? Ni dalliance zipi tukiziona zitatufahamisha kwamba mtu huyu ni mwanga? Pia hakuna na kumgandisha ndani kama kaingia? Kuna wanga wengine watoto wadogo vigori yaaani hakuna jinsi ya kumkamata gheto alafu ukambandua?
 
Nimewahi kusikia wanga huwa wanachukua mbegu za kiume zina kazi gani hizi? Hii niliisikia miaka flani hivi huko mbezi beach kuna ki dem flani kilipewa vitu kikawa kinasema kwamba huwa kinaweka like jumba la konokono ktk papuchi kisha kinakusanya mzigo wa kutosha kwa ajili ya kazi maalum
 
Aaamen na iwe hivyo kama ulivyonena mtumishi... Barikiwa mno
 
 
Kwa ajili ya kutumika kama malighafi kwenye shughuli za kichawi kama kufungwa uzazi kuzaa mtoto mchawi limbwata nk
 
Huwa nashindwa kucomment post za [HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] naishia kucheka tu. Naona umeamua kunawa mikono kama Pilato.
 
Ndulele ni kitu gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…