Kama unaongelea michoro ya kutumia software za archicard hakuna namna kwa urahisi unapoweka picha yoyote zinakuja zile zilizowekwa na wabunifu wa software hizo.Nilipokumbuka ile hadithi ya kibanga kampiga mkoloni nikajiuliza kwa nini hakummaliza kabisa. Yapo mambo mengi katuletea au kuyafanya ambayo ukiyaangalia kwa nje ni mazuri kumbe yana ubaya sana hasa katika kutudhoofisha kimwili na kiakili. Nadhani tunamkumbuka sana mkoloni hadi kuona anafaa kuweka katika vitu mbalimbali ambavyo vinaweza kuwavuta watu karibu.
Suala moja tu ambalo najiuliza ni kwa nini katika project kubwa za ujenzi (haswa mall n.k) mabango mengi yanayoonesha picha ya jengo litakapokamilika hupambwa na wazungu!! picha katika mabango hayo huonesha watu kuingia na kutoka lakini watu hao wengi huwa ni rangi ya mkoloni. Hatuwezi kuweka watu kufanana na rangi zetu au hatujui thamani yetu na ya rangi yetu hadi tuwaweke wao ndani ya taifa letu!!
Please, wachora ramani badilikeni basi angalau tuone rangi zetu pale sio wakoloni tu. Wakoloni wabaya sana.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]wachora ramani ni hao hao wakoloni.
Kama unaongelea michoro ya kutumia software za archicard hakuna namna kwa urahisi unapoweka picha yoyote zinakuja zile zilizowekwa na wabunifu wa software hizo.
Wameweka picha za kizungu zaidi humo ndani, ukikerwa buni software yako uwauzie wachoraji
Kama unaongelea michoro ya kutumia software za archicard hakuna namna kwa urahisi unapoweka picha yoyote zinakuja zile zilizowekwa na wabunifu wa software hizo.
Wameweka picha za kizungu zaidi humo ndani, ukikerwa buni software yako uwauzie wachoraji
Labda mimi cjui, nikumbushe software moja iliyotengenezwa Tanzania/Africa na hajahusika mzunguDuh! wameteka akili kabisa hata kutengeneza software zetu hatuwezi..
Ni kweli humpendi mkoloni lakini lifestyle yako ya leo ni ya kikoloni.Mtu akiwa mkoloni anakuwa hana zuri hata moja, maana yeye anasababisha kitu, yeye anasaidia na yeye ndio mwenye kufaidika..!
Tuendelee kwenda na kasi ya ugunduzi wa Teknolojia mbali mbali. Ila hizi Teknolojia za mkoloni ipo siku itatufanya watumwa hasa Afrika,
Mana tumesahau misingi ya Waafrika wenzetu kama kina Mwl Nyerere, Gaddaf Bob Marley na wengine wengi, ambao walijitolea Kutuelimisha lakini hatukuelimika.
Pigo namba moja la Teknolojia ni ili laptop na kompyuta kuonyesha ni pigo la wote, Mapigo yanayo fata ni watu oheeehaee nahamanisha Afrika inatuhusu.
Mkoloni sio mtu mzuri kabisa, simpendi japo vitu vina rahisisha.
Kwa kifupi ulikuwa na nia njema lakini hukufanya utafiti na ukakimbilia kuwalaumu wabunifu wa majengoMkuu ngoja waje wana sayansi wenda watatujuza hope wanaweza kuwa wanawafahamu wabongo waliounda software zao.