Nimekumbuka milioni mia nne na zaidi zilizo karabati nyumba ya waziri wa afya! By the way baada ya kutemwa juzi bado anaishi humo au kaisha mpisha kijana wa mzee ruksa?Katika taarifa ya habari ya ITV ya saa 2 usiku huu, nimeona habari ya zahanati moja iliyoko Mtwara pamoja na shida ambazo zinaikabili zahanati hiyo. Mojawapo ya matatizo yaliyoelezwa ni ukosefu wa mawasilaiano na vilevile ukosefu wa usafiri kwa wagonjwa. Katika habari hiyo ulionyeshwa mkokoteni wa kubebea wagonjwa uliotolewa na serikali, ukiwa umeharibika.
Taarifa hiyo ya habari imenifanya nifikirie ubadhirifu mkubwa wa fedha za serikali unaofanywa na viongozi pamoja na baraza kubwa mno na watumishi wa serikali ambao hawana lazima. Fedha hizo zingetumika kutatua matatizo hayo ya wananchi.
View attachment 53796
Nimekumbuka milioni mia nne na zaidi zilizo karabati nyumba ya waziri wa afya! By the way baada ya kutemwa juzi bado anaishi humo au kaisha mpisha kijana wa mzee ruksa?
CCM ilishashindwa siku nyingi tuu, tuombe Mungu kungojea uongozi mpa wa CHADEMA!!! Mtu kabadili baraza la mawaziri badala ya kufikilia kupunguza matumizi ya serikali yeye ndio mwanzo anaongeza matumizi from 50 Ministers up to 55 kweli huyu mkulu ana huruma na Watazania?????TAtizo watu hamuamini kuwa sera ya CCM kuhusu afya imeshindwa; bado mna matumaini kweli!
Hiyo ndiyo serikali ya maghamba's, hawana mpango kabisa ya kujua wanachi wao wanaishi vipi??? Kila kukicha gharama za maisha zinapanda, hivi kweli hiyo dispensary inazo dawa?????Kwa kweli inatia hasira mnooo!!!
1)Huwezi amini haya mambo yapo kwenye nchi hii(Kisiwa cha Amani?Punda sawa,trolley poa,mkokoteni ndio usiseme)
2)Huko Serikalini magari wanayotembelea ni milioni mia mbili!
3)Serikali ina hela nyingi mpaka inaweza kuwakopesha wabunge Milioni 90 kila mbunge kwa ajili ya usafiri!!
Maswali ninayojiuliza!!
Hawa wananchi wana mbunge?Mkuu wa mkoa,wilaya?
Madaktari walipogoma kutetea hali duni za hospital zetu,waliwaunga mkono?
Kweli kuishi kwingi,Ni kuona mengi!!!
Hiyo ndiyo serikali ya maghamba's, hawana mpango kabisa ya kujua wanachi wao wanaishi vipi??? Kila kukicha gharama za maisha zinapanda, hivi kweli hiyo dispensary inazo dawa?????