Mkoa wako upo?

Kwani kutojua kusoma na kuandika ndiyo ujinga? Mbona kuna mijitu imesoma lakini ni mijinga ya kwanza? Kwa mfano hii inayolipwa hizi buku saba saba ili ibong'oe si ni mijinga kuliko hata hao wasiojua kusoma wala kuandika?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…