Mkoa wa Mbeya Wabunge wetu wana kasoro

Mkoa wa Mbeya Wabunge wetu wana kasoro

kanamaheri

Senior Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
104
Reaction score
84
Si rahisi mikoa yote kutoa kiongozi mf. Waziri, majimbo yote wananchi tulikosea kuchagua isopokuwa Mbeya jiji wengine waliosalia hawana uwezo wa kuwa washauri kwenye wizara yoyote hata kujibu maswali ya watunga sheria pale mjengoni!!!! Ila hata huku down tunajikuta tunachukiwa bila sababu.

Mbalari (maamuzi ya wananchi), Kyela, Rungwe, Mbeya vijijini, Busokelo, chunya. Tunawaomba kutoka songwe hatutarajii kuinua mabega ingawa hata kupiga picha tuu mjengoni unakuwaga busy sana.
 
Aah bora tudiskasi mpira tu,iyo hbr hapo juu Lzm ikuchanganye..!

Ee Bwana ee Unaambiwa Unyama Unyamani African Football League mara Paap....Al Ahyl huyu hapa.!
 
Enzi za akina Dr. Mwakyembe, Prof. Mwakyusa na Prof. Mwandosya zimepita. Sasahivi mmechagua Kinanasi na wahuni wengine.

Sasa nyie 2025 mpigeni chini Tulia ili muongeze wahuni wengine sijui akina Sugu na Mwambukusi. Miradi ya maendeleo mtaisikia kwenye redio tu.
 
Back
Top Bottom