Mkoa wa Mara umeikosea nini Serikali ya CCM?

TangataUnyakeWasu

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
1,268
Reaction score
1,611
Ni kweli kwamba baba wa Taifa Hayati Mwl Julius K. Nyerere alikuwa ni mzaliwa wa mkoa huu na ambaye ndiye alikuwa mwasisi mkuu wa TANU na hatimaye CCM. Licha ya hiyo naweza sema kwamba mkoa huu umesaulika sana na katika shughuli za maendeleo ya jamii. Mkoa unakabiliwa na miundombinu mibovu, huduma mbovu za maji, elimu na afya.

Swali langu ni Je mkoa huu umewakosea nini watawala wote waliopita na wa sasa ndani ya serikali ya CCM??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nae hauna lolote na thread zako za kijinga......NI CHUKI TU ULIZO NAZO JUU YA SERIKALI HII
 
Naskia huko kumefungwa mitambo ya THAAD ya kuzuia maendeleo....

Huko Mara kuna visa vya kutisha sana.... Acheni kwanza UCHAWI na mfanye kazi maendeleo yapo..

Msisahau kulipa kodi TRA na mtumie machine za EFD... Kwa maendeleo ya Mara
 
Fanya utafiti, utapata jibu. Ukishindwa kuufanya mwenyewe, ingia vyuo vikuu, kabla ya kuhitimu wanatakiwa kuandika project, japo nina wasi wasi kama kuna chuo kikuu mkoani MARA!.
 
Naskia huko kumefungwa mitambo ya THAAD ya kuzuia maendeleo....

Huko Mara kuna visa vya kutisha sana.... Acheni kwanza UCHAWI na mfanye kazi maendeleo yapo..

Msisahau kulipa kodi TRA na mtumie machine za EFD... Kwa maendeleo ya Mara
Uchawi Mara?

Alafu Tanga na Sumbawanga waache nini?

- KANA -
 
Ndo dawa wa wasaliti, yaani mkawapiga chini wagombea wote wa ukawa mkidhini mtakuja kugaiwa maziwa .

Hahahaha pambaneni na hali zenu
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Ni kweli kwamba baba wa Taifa Hayati Mwl Julius K. Nyerere alikuwa ni mzaliwa wa mkoa huu na ambaye ndiye alikuwa mwasisi mkuu wa TANU na hatimaye CCM. Licha ya hiyo naweza sema kwamba mkoa huu umesaulika sana na katika shughuli za maendeleo ya jamii. Mkoa unakabiliwa na miundombinu mibovu, huduma mbovu za maji, elimu na afya.

Swali langu ni Je mkoa huu umewakosea nini watawala wote waliopita na wa sasa ndani ya serikali ya CCM??

Sent using Jamii Forums mobile app
Maendeleo ya mtu huletwa na mtu mwenyewe. Tatizo kubwa la mkoa wa mara wakaaji wake hawajitumi sana kufanya kazi especially wajita. Hata ukifanya malinganisho utagundua wakurya wana maendeleo, lakini wajita wamechoka sana kimaendeleo.

Wajita wana maendeleo ya Majungu. Ni watu wa kujua neno la kila mtu. Mabishoo wa kufa mtu
 
Ni kweli kwamba baba wa Taifa Hayati Mwl Julius K. Nyerere alikuwa ni mzaliwa wa mkoa huu na ambaye ndiye alikuwa mwasisi mkuu wa TANU na hatimaye CCM. Licha ya hiyo naweza sema kwamba mkoa huu umesaulika sana na katika shughuli za maendeleo ya jamii. Mkoa unakabiliwa na miundombinu mibovu, huduma mbovu za maji, elimu na afya.

Swali langu ni Je mkoa huu umewakosea nini watawala wote waliopita na wa sasa ndani ya serikali ya CCM??

Sent using Jamii Forums mobile app

Nahisi waweza kupimwa mkojo kuona kama kweli una dalili za uchochezi wa ukabila!!!
Please watch out not to that extent.
 
Back
Top Bottom