Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka
Mkoa wa Mara una jumla ya Majimbo ya uchaguzi 10
CCM iimeshinda majimbo yote kama ifuatavyo;
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > GE2025 - Mara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

- Jimbo la Musoma Mjini
- Jimbo la Musoma Vijijini
- Jimbo la Rorya
- Jimbo la Butiama
- Jimbo la Bunda Mjini
- Jimbo la Bunda
- Jimbo la Serengeti
- Jimbo la Tarime Mjini
- Jimbo la Tarime Vijijini
- Jimbo la Mwibara
CCM iimeshinda majimbo yote kama ifuatavyo;
- Mgore Miraji (Musoma Vijijini)
- Mary Daniel (Serengeti)
- Ester Bulaya (Bunda Mjini)
- Jafari Chege (Rorya)
- Profesa Sospeter Muhongo ( Musoma Vijijini)
- Mwita Waitara (Tarime Vijijini)
- Kangi Lugola (Mwibara)
- Boniphace Getere (Bunda)
- Dk Wilson Mahera (Butiama)
- Ester Matiko (Tarime)
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > GE2025 - Mara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025