PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo ndani ya Mkoa huo wamefanya mazoezi ya pamoja Oktoba 04, 2025 Ikiwa ni pamoja na matembezi mafupi (Route match) na mazoezi mbalimbali ya mwili, katika viwanja vya Jeshi la Qananchi Mwenge Kikosi cha Bendi.