mradi upi wa barabara ulizotaja? wewe...! hiyo ni lini?Nimefanya kazi kwenye mradi wa barabara kwa miezi mitatu kutokea Same hadi Rombo na baadae Himo hadi KIA nimegundua haya.
1. Vijana wengi wa uchagani ni walevi addicted full alcoholic hata afya zao zimetetereka sana. Hawa wezi kazi yoyote zaidi YA kutafuta pombe kali zilizopo.
2. Wilaya ZA Same na Mwanga kuna vuguvugu kubwa la mafunzo yasiyoeleweka YA kidini, kuna wageni wengi wapo kama wahubiri na jioni wapo kwenye nyumba za ibada. Huwezi gundua kama hauko karibu na vijana. Nahisi kuibuka kwa fundamentalism.
3. Mpaka wa Kenya uko free sana. Watu wanamove tu toka Kenya to ugweno na sehemu zingine hasa Muda wa jioni. Fuso zinatumika kupakia wageni vizuri tu hasa mida YA saa 3 hadi 10 usiku.
Tutulie tu tutavuna.
mradi upi wa barabara ulizotaja? wewe...! hiyo ni lini?
mradi upi wa barabara ulizotaja? wewe...! hiyo ni lini?
Serikali ipige marufuku viroba vinaaharibu sana vijana
Kwenye pombe nakuunga mkono, tena inasikitisha kwamba zipo pombe zisizo rasmi zaidi ya 30 na zinatengenezwa ndani ya wilaya bila vibali na hata uhakiki wa aina yeyote... Kwa upande wa miradi kama nilivyobold nafikiri uliamua kuchagiza hiyo taarifa yako maana haijawahi tokea japo kwa kutatwa au kutekelezwa ktk maeneo husika.Nimefanya kazi kwenye mradi wa barabara kwa miezi mitatu kutokea Same hadi Rombo na baadae Himo hadi KIA nimegundua haya.
1. Vijana wengi wa uchagani ni walevi addicted full alcoholic hata afya zao zimetetereka sana. Hawa wezi kazi yoyote zaidi YA kutafuta pombe kali zilizopo.
2. Wilaya ZA Same na Mwanga kuna vuguvugu kubwa la mafunzo yasiyoeleweka YA kidini, kuna wageni wengi wapo kama wahubiri na jioni wapo kwenye nyumba za ibada. Huwezi gundua kama hauko karibu na vijana. Nahisi kuibuka kwa fundamentalism.
3. Mpaka wa Kenya uko free sana. Watu wanamove tu toka Kenya to ugweno na sehemu zingine hasa Muda wa jioni. Fuso zinatumika kupakia wageni vizuri tu hasa mida YA saa 3 hadi 10 usiku.
Tutulie tu tutavuna.
Nimefanya kazi kwenye mradi wa barabara kwa miezi mitatu kutokea Same hadi Rombo na baadae Himo hadi KIA nimegundua haya.
1. Vijana wengi wa uchagani ni walevi addicted full alcoholic hata afya zao zimetetereka sana. Hawa wezi kazi yoyote zaidi YA kutafuta pombe kali zilizopo.
2. Wilaya ZA Same na Mwanga kuna vuguvugu kubwa la mafunzo yasiyoeleweka YA kidini, kuna wageni wengi wapo kama wahubiri na jioni wapo kwenye nyumba za ibada. Huwezi gundua kama hauko karibu na vijana. Nahisi kuibuka kwa fundamentalism.
3. Mpaka wa Kenya uko free sana. Watu wanamove tu toka Kenya to ugweno na sehemu zingine hasa Muda wa jioni. Fuso zinatumika kupakia wageni vizuri tu hasa mida YA saa 3 hadi 10 usiku.
Tutulie tu tutavuna.
Ajabu!! Na hapo hapo national bureau of statistics wanasema Arusha inaongoza kwa wananchi wake kuishi maisha yenye nafuu(Bora?) Ikifuatiwa na kilimanjaro,halafu hii mingine ya wasiolewa inafuatia,katika takwimu zisizo rasmi jedwali linaonyesha kuwa mikoa hiyo miwili ndiyo inayoongoza kwa uchakarikaji/upambanaji/usakanyaji!!kwa macho ya kawaida watu wa kutokea sehemu hizo mbili(arusha na kilimanjaro)wanaonekana kila kona ya nchi wakipambana kujikwamua kiuchumi na kimaendeleo hadi kuwapita wenyeji wa maeneo husika kwa maendeleo,wilaya ya ROMBO inatatizo kubwa la vijana wake hasa wa umri wa kati kujikita kwenye ulevi,ukienda Marangu utakuta mchanyato mwingine,mchana ni watafutaji haswa,na usiku ni watumiaji mbaya!!!wamachame wanaonja,ila si walevi kivile,(wengi wao) hivi same na mwanga kuna walevi kweli?kama wapo ni kwa uchache mno,wanazidiwa hata na lushoto,hivyo basi hebu rekebisha hilo neno kilimanjaro na uweke ROMBO!!klm ni kubwa mkuu,haianzii na kuishia barabara ya moshi/arusha.Inawezekana ni kweli mkuu..lakini tatizo la ulevi si tu kwa maeneo uliyotaja...nilikuwa ktk safari ya mikoa ya arusha...manyara..dodoma na iringa tatizo ni kubwa na juhud za ziada ziada zinahitajika
ajabu!! Na hapo hapo national bureau of statistics wanasema arusha inaongoza kwa wananchi wake kuishi maisha yenye nafuu(bora?) ikifuatiwa na kilimanjaro,halafu hii mingine ya wasiolewa inafuatia,katika takwimu zisizo rasmi jedwali linaonyesha kuwa mikoa hiyo miwili ndiyo inayoongoza kwa uchakarikaji/upambanaji/usakanyaji!!kwa macho ya kawaida watu wa kutokea sehemu hizo mbili(arusha na kilimanjaro)wanaonekana kila kona ya nchi wakipambana kujikwamua kiuchumi na kimaendeleo hadi kuwapita wenyeji wa maeneo husika kwa maendeleo,wilaya ya rombo inatatizo kubwa la vijana wake hasa wa umri wa kati kujikita kwenye ulevi,ukienda marangu utakuta mchanyato mwingine,mchana ni watafutaji haswa,na usiku ni watumiaji mbaya!!!wamachame wanaonja,ila si walevi kivile,(wengi wao) hivi same na mwanga kuna walevi kweli?kama wapo ni kwa uchache mno,wanazidiwa hata na lushoto,hivyo basi hebu rekebisha hilo neno kilimanjaro na uweke rombo!!klm ni kubwa mkuu,haianzii na kuishia barabara ya moshi/arusha.