frajomedia
Member
- May 1, 2016
- 35
- 7
Mkoa wa Kagera ni mkoa wenye fursa nyingi za uchumi na kama wananchi wakitumia fursa hizo itakuwa itafanikisha kujikomboa kwenye umasikini.
Leo nitazungumzia fursa ya utalii kwa mkoa wa Kagera,kwanza nielezee sifa ya mkoa wa Kagera kwa ufupi,mkoa wa Kagera umepakana na nchi nyingi za Afrika mashariki,kama Uganda,Rwanda na Burundi hiyo ni fursa kubwa kwa biashara na utalii,nirudi kwenye utalii.
vivutio vya utalii kwa mkoa wa Kagera vipo vya aina mbalimbali kama fukwe uwepo wa ziwa victoria,kuna vivutio vya utamaduni kama kujua historia mbalimbali za machief,nyumba za kitamaduni.kuna utamaduni wa mbuga za wanyama kuna Rubondo,Burigi game reserve nakadhalika,kuna maporomoko ya maji,na vivutio vingi sana.
Kujionea vivutio mbalimbali vya utalii vinavyopatikana mkoa wa Kagera na muongozo mzima kama sehemu mbalimbali za kutembea,tembelea
www.kageratourism.com