Mkoa wa Kagera na Majanga Mazito!

Mkoa wa Kagera na Majanga Mazito!

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,997
Reaction score
34,886
Wakuu,

Mkoa wetu wa Kagera umekutana na majanga mazito kuliko mkoa wowote Tanzania. Pengine kila Rais aliyetawala Taifa hili kakutana na hayo mapigo ya mkoa wa Kagera!

Mwl Nyerere alipigana vita kuukomboa mkoa wetu mikononi mwa Idd Amin! Mh Mwinyi yeye akakumbana na pigo la ugonjwa wa ukimwi kuteketeza wananchi na kuacha miji ya watu ikijaa makaburi na yatima wengi.

Mh Ben Mkapa yeye akakutana na ajali nzito ya Mv Bukoba iliyoua watu zaidi ya 800 wengi wakiwa wakazi wa huko. Mh Kikwete akakutana na ugonjwa wa mnyauko ulioteketeza migomba kama ugonjwa wa ukimwi ulivyotekeza watu! Mpaka leo bado kuna athari za ugonjwa huo wa Mnyauko.

Mh JPM yeye akakutana na tetemeko la ardhi lililoacha uharibifu mkubwa kuwahi kutokea. Sasa Mh Rais Samia tayari nae amekutana na ajali mbaya ya ndege!

Nafikiri mkoa wetu unahitaji maombi ya kipekee sana! Imekuwa ardhi inayokumbana na kila janga baya linaloibuka. Inawezekana kwenye ulimwengu wa kiroho mkoa huu una potential nzito ndio maana umejaa mashambulizi ya kila aina.

Kama Taifa upo umuhimu wa kufikiria mkoa huu kimkakati kutokana na historia hizi zinazojirudia!
 
Tukiondoa tetemeko ambalo ni janga la asili, nini kifanyike kuunusuru mkoa huu wa Kagera.
Pageuzwe kuwa eneo la kimkakati wa kukabiliana na majanga! Mfano vyuo vikuu vya mambo ya majanga na uokozi! Liwe eneo ambalo Taifa litawekeza kama tunavyoona Arusha kuwa kituo kikuu cha mambo ya utalii! Kagera kuwa ni taa ya Taifa ki stratejia kwa mambo ya majanga ikiwemo magonjwa ya mlipuko.

Viongozi wa kidini pia wanahitaji kufanya jambo kutokana na kujirudiarudia kwa majanga yanayotikisa Taifa.
 
Ushauri mzuri mkuu
 
Yohana mbatizaji Kama kawaida yake kutoa majibu mepesi Kwa maswali magumu
Yaani bila Mwamposa hiyo ardhi na anga lenu halitakomboka?
😂😂😂😂😂😂
Hiyo ardhi lazima Mtume Mwamposa aikomboe Bwashee

Hata hapa Dar maeneo yenye majina ya Wahaya ni full majanga

Nenda Magomeni Kagera

Nenda Mwananyamala kwa Wahaya

Nenda Tegeta Nyaishozi
 
Unazifahamu ajali za mabasi zinazotokea kati ya Mbeya na Morogoro au Dodoma Morogoro?
Sio majanga basi kuua abiria 20??
Wakuu,

Mkoa wetu wa Kagera umekutana na majanga mazito kuliko mkoa wowote Tanzania. Pengine kila Rais aliyetawala Taifa hili kakutana na hayo mapigo ya mkoa wa Kagera!

Mwl Nyerere alipigana vita kuukomboa mkoa wetu mikononi mwa Idd Amin! Mh Mwinyi yeye akakumbana na pigo la ugonjwa wa ukimwi kuteketeza wananchi na kuacha miji ya watu ikijaa makaburi na yatima wengi.

Mh Ben Mkapa yeye akakutana na ajali nzito ya Mv Bukoba iliyoua watu zaidi ya 800 wengi wakiwa wakazi wa huko. Mh Kikwete akakutana na ugonjwa wa mnyauko ulioteketeza migomba kama ugonjwa wa ukimwi ulivyotekeza watu! Mpaka leo bado kuna athari za ugonjwa huo wa Mnyauko.

Mh JPM yeye akakutana na tetemeko la ardhi lililoacha uharibifu mkubwa kuwahi kutokea. Sasa Mh Rais Samia tayari nae amekutana na ajali mbaya ya ndege!

Nafikiri mkoa wetu unahitaji maombi ya kipekee sana! Imekuwa ardhi inayokumbana na kila janga baya linaloibuka. Inawezekana kwenye ulimwengu wa kiroho mkoa huu una potential nzito ndio maana umejaa mashambulizi ya kila aina.

Kama Taifa upo umuhimu wa kufikiria mkoa huu kimkakati kutokana na historia hizi zinazojirudia!
 
Wakuu,

Mkoa wetu wa Kagera umekutana na majanga mazito kuliko mkoa wowote Tanzania. Pengine kila Rais aliyetawala Taifa hili kakutana na hayo mapigo ya mkoa wa Kagera!

Mwl Nyerere alipigana vita kuukomboa mkoa wetu mikononi mwa Idd Amin! Mh Mwinyi yeye akakumbana na pigo la ugonjwa wa ukimwi kuteketeza wananchi na kuacha miji ya watu ikijaa makaburi na yatima wengi.

Mh Ben Mkapa yeye akakutana na ajali nzito ya Mv Bukoba iliyoua watu zaidi ya 800 wengi wakiwa wakazi wa huko. Mh Kikwete akakutana na ugonjwa wa mnyauko ulioteketeza migomba kama ugonjwa wa ukimwi ulivyotekeza watu! Mpaka leo bado kuna athari za ugonjwa huo wa Mnyauko.

Mh JPM yeye akakutana na tetemeko la ardhi lililoacha uharibifu mkubwa kuwahi kutokea. Sasa Mh Rais Samia tayari nae amekutana na ajali mbaya ya ndege!

Nafikiri mkoa wetu unahitaji maombi ya kipekee sana! Imekuwa ardhi inayokumbana na kila janga baya linaloibuka. Inawezekana kwenye ulimwengu wa kiroho mkoa huu una potential nzito ndio maana umejaa mashambulizi ya kila aina.

Kama Taifa upo umuhimu wa kufikiria mkoa huu kimkakati kutokana na historia hizi zinazojirudia!
Upuuzi mwingine wa kidini,maombi Tena!!majanga unayoyataja si ya kwanza kutokea,duniani,Kuna nchi zinakumbwa na matetemeko ya ardhi,mafuriko,
Hii ajari imesababishwa na uzembe wa wamiriki wa Ndege,maana naambiwa hawafati kabisa misingi ya matengenezo.
Kuhusu vita ya Kagera,ni kwa sababu Idi amini alitaka kukata mkoa wa Kagera,
Hata kule Mtwara,alshababy walivamia,sasa na penyewe tupige magoti tuombe!!Afrika ina makanisa Mengi na misikiti kuliko sehemu nyingine duniani,na watu wanakesha wakiomba!!ila matatizo hayaishi!!,jibu sio maombi!jibu ni kutumia mbongo na tekinolojia!!
China,Japan hawaabudu huyu Mungu wetu,kimwamposa!!Ulaya makanisa yanabadilishwa kuwa baa,na madanguro!!lakini hawana shida kama hizi za kwetu,
Huu upuuzi wa kutaka kila kitu kitatuliwe kwa kupiga magoti na kuomba,ni upuuzi mtupu,sasa kijana wako amemaliza chuo,unataka mkopo wa bodi akasome Elimu ya juu,sasa maombi yatakusaidia nini hapo!!.?Acha ujinga,Kuna Ndege ya Ukraine ilipigwa kombora ikiwa na watu 850!!
Vipi kuhusu Ukraine inayotwangwa kwa zaidi ya miezi SITA!,na wao wapige magoti waombe!!
 
Magonjwa ya kitropiki yana uwezekano mkubwa wa kuanzia nchi kama Congo na kupitia Uganda kabla ya kuingia Tanzania na hapo ndipo yanapitia Kagera. Hata mnyauko ilitokea Uganda.

Vita ilitokea kwa kuwa ni mpakani vilevile. Hakuna vita na nchi jirani itakayoanzia Singida au Morogoro.

Meli ni kwa kuwa kuna ziwa na kuna route kubwa moja tu ndio hiyo. Bado routes za baharini zilipata ajari mara kadhaa kama MV Spice Islander.

Tetemeko hilo lingeweza tokea hata Kigoma au popote ambapo tawi mojawapo la bonde la ufa la Afrika Mashariki linapita. Mkoa wa Kagera kijiografia sijui kama kuna tectonic plate inayohusiana na bonde lile. Kwanza siijui seismology.

Ajari ya ndege ilichangiwa na hali ya hewa mbaya. Mkoa huo ni mojawapo ya yenye mvua nyingi hapa nchini, uwezekano wa kupata janga linalotokana na mvua ni mkubwa. Ila mafuriko hayatokei kwa sababu ya sura ya nchi ilivyo sio tambarare.

Uwezekano wa majanga kuendelea upo. Just take precautions
 
Kagera yagera..mkoa huo unahitaji nguvu ya ziada kutakua kuna mambo hayajakaa sawa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom