Mkoa wa Arusha hali ni mbaya

Amesema mkoa wa Arusha ni kitovu cha utalii, uategemewa na taifa Zima. Na wewe wa Tunduru sema huo mkoa taifa linautegemeaje maana naamini mikoa yote ni ya watanzania hakuna mkoa special Ila kila mtu lazima apigie debe anapoishi.
Usikute ntoa mada kwao ni Kagera au Kigoma au Katavi
 
Hiyo ni teknolojia tu,na hatujawahi kulia msaada eti tuangaliwe kwa jicho la kipekee. Tunajua Tanzania ni yetu sote na kila kipande chake ni cha thamani. Hata tulipovamiwa kagera tulisimama kama taifa moja hatukusema wapigane wahaya tu.
Endekezeni uchawi tu na sijui nchi inanufaikaje!
 
Naamini tunapaswa kujenga nchi kwa ajili yetu na si kwa ajili ya wageni.sote tunastahili kilicho bora,acha mawazo ya kitumwa.
Wageni wanakuja na dollar ambazo ndo serikali inazitumia kununua magari, madawa, vifaa vinginevyo n matumizi mengineyo.

Mnajenga Standard gauge na Stigler unajua hao wakandarasi wanalipwa Shiling au Dollar?
 
Ungetoa data ingependeza zaidi.mnachangia shingapi?
Wageni wanakuja na dollar ambazo ndo serikali inazitumia kununua magari, madawa, vifaa vinginevyo n matumizi mengineyo.

Mnajenga Standard gauge na Stigler unajua hao wakandarasi wanalipwa Shiling au Dollar?
 
Ungetoa data ingependeza zaidi.mnachangia shingapi?
Mapato yote yanayopatikana nadhani sisi inabidi tupewe 6~7% ya kinachopatikana kwenye utalii maana yake dollar zote zinaingi mfuko wa serikali kuu. Kama ilivyo kwa mlima Kilimanjaro kinachokuja kwa mkoa ni kidogo sana ambacho hakifai kitu.
 
Mbona panapitika mkuu, piga konyagi +kitu cha arusha hapo unapita vizuri kinoma unaona pamekauka kabisa ila ukilala ukija kuamka ndio unajikuta mchafu
 
Hoja unayo ila umeiwasilisha kikudakuda sana,kwani sisi wa Tunduru hatuhitaji barabara nzuri,mbona Iringa wanatulisha,acha kujifanya wathamani kuliko sisi.
Mkuu umenena lkn mbona Tunduru barabara iko nzuri tu, hata ile inayotokea Masasi mjini
 
pascal ni team praise, kwa kuwa tu hapo ni mbunge wa upinzani ndio maana anasema hivyo. Nenda huko kwao usukumani kwenye wabunge wa ccm toka tanzania imezaliwa hadi leo uone miundombinu ilivyo

Jamani miundombinu yetu inasadifu hali ya uchumi wetu, fedha za makusanyo na mgao wake zinaangaliwa na mambo mengi sana - nilitegemea Paschal afafanue kuwa fedha tulizonazo hazitoshi kutatua kila aina ya changamoto vinginevyo atueleze jimbo gani Tanzania limeneemeka kwa issue ya miundombinu ya barabara

WanaArusha, vumilieni hali hiyo muda unakuja itatuliwa - hali hiyo ni matokea ya kiuchumi (kuwa fedha lkn malengo na mahitaji yakiwa mengi)
 
Mpige chini mbunge wenu!
 
Unanunua ugomvi na wafuasi wa rastaman wa kitambo mkuu.
 

Kwani mbunge ndo ukusanya kodi? Mbona iko wazi majimbo ya upinzani ampeleki hela maendeleo,Huyo RC yuko Kwa ajili ya Lema
 
"Kaskazini subirini, sasa hivi ni zamu ya kanda nyingine". Sauti ilisikika pande fulani
 
Mlichukuliana mlupo nini?nitajie Jimbo ambalo halina barabara za hivyo Tanzania;hata Dar tu watu wanabebwa wakati wa mvua na kuna sehemu kuna viatu vya kuendea kwenye daladala alafu unavaa vya kuendea mjini
 

Nikumbushe pia jina la mkuu wa mkoa ambaye ni mwakilishi wa raisi mwenye kukusanya kodi kwa ajili ya maendeleo, au mkuu wa mkoa hahusiki na maendeleo katika mkoa wake?
 
Daaah Brother hata wewe tena?
I thought I could see a comment like this from praise team and 7000/= aspirants.. but not from you. To me ua among the members who gives us thoughtful and constructive ideas.. but this one mmmmmmmmm


Naona umeshangaa kama mimi sidkutegemea swali la hovyo na unaa kutoka kwa mtu anaejipambanua kuwa gwiji wa habari
 


Ni wewe kweli au kuna mtu kakunyanganya computer/simu yako?
 
Daaah Brother hata wewe tena?
I thought I could see a comment like this from praise team and 7000/= aspirants.. but not from you. To me ua among the members who gives us thoughtful and constructive ideas.. but this one mmmmmmmmm

I swear you don't know him, huyu ni mmoja wao sema anang'ata na kupuliza.
 
Hata ikiwa uchumi mbovu lakini barabara za katikati ya mji, yapaswa ziwe boro hata kwa mkopo bas kutoka Kwa wenzetu kwasababu pia hali hii inarudisha nyuma uchumi wa mtu mmoja, muda wa kuwahi kwenye biashara inakuwa changamoto, huyu mtu atapataje kodi kwa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…