Mkoa Gani Una Baridi Kupita Yote Tanzania?

Makete ndio mwisho, nakumbuka wakati naenda Shule asubui ilikua kawaida kila mwanafunzi kuingia na jiko la mkaa Darasani.

Maana usipopasha moto mikono huwezi kuandika, vidole vinakosa nguvu kabisa na midomo kutetemeka.

Mwezi wa Sita,Saba hadi wa Nane ukilaza ndoo yenye maji nje asubuhi unakuta jiwe la barafu.!
Nakuunga mkono kabisa 100% pale ni baridi haswa kuliko mafinga ifunda wasa mufindi na orjoro
 
Back
Top Bottom