Mkoa gani hautamani kuishi hapa Tanzania?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
45,536
52,604
Kuna Mikoa kiukweli Mimi ukiniambia nikaishi ni kama umenipa adhabu kubwa. Mikoa ambayo sitamani kabisa kuishi ni

Dsm-Watu wengi,Kila sehemu Kuna nuka,uswazi, no space na prone kwa Magonjwa kama kipindupindu n.k
mvua kidogo tu inakuwa ni mafuriko,joto na jasho mda wote nk nk.

Mikoa ya Kanda ya Ziwa. Hii shida kubwa ni zile zile watu wamerundikana kama Dar, umaskini uliotopea na mbaya zaidi Magonjwa ya Kansa ndio kwao.

Mwisho ni Wilaya za Makete, Longido, Simanjiro, Kondoa, Bahi, Ulanga na Mwanga. Hizi Wilaya maisha maisha hatari.
 
Kilimanjaro hata unipe nyumba bure sikae
 
Mkuu ukiwa na mkwanja kokote kunakua kuzuri imagine dubai na falme za kiarabu hakukua na maisha mazuri kwenye jangwa lakini leo mtu akioata pesa moja ya destination zake kwenye vacation ni dubai pesa inabadili kila kitu zisake mwanza na dar kuna maeneo ukiwa na mkwanja ukaweza kuishi hutojuta. Ila ukiwa maskini pia usipende kuchagua maeneo maskini hana jema
 
Kwenu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…